Ibrahim masoud 'maestro' atua E FM 93.7

Hivi katanga juzi aliteuliwa kuwa msemaji wa chama cha soka wilaya ya kinindoni kumbe anakuwa na kazi mbili.
 
Nitakumiss maestro, Hadi hiyo E fm ifike huku nilipo nadhani utakuwa umeshahama na hapo
 
Hizi habari kama ni sahihi basi E.fm watatisha sana
 
Mimi nipo zenj ila nawapata kupitia tunein vzr tu hao E.fm
 

Hahahahaaaaaa
 
apunguze ujuaji tu maana full ujuaji huyo masoud

Hilo tatizo kubwa la Maestro, kwa vile ana idea ya ukocha basi hataki hata kujisumbua kufuatilia mambo mapya amebaki na yaleyale anayoyafahamu kwenye ukocha anataka afundishe watu mpira kwenye TV?hana latest info Tatizo kubwa sana hili kwenye ulimwengu wa sasa wa teknolojia. matokeo yake vijana wapya wanakuja wanamfunika!...
 
hatimaye mzoga umepata mwewe wa kuunyakua...
 
eti humpendi! amekukosea nini?! au ndio chuki bure? endelea kumchukia lakini sidhani kama unampunguzia kitu.

Wewe ndiye maestro eeh?Katika comments zote humu umeona hii yangu tu.SIMPENDI,kama imekuuma sana kanywe tindikali.
Nasema ninachojisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…