Ibrahim Masoud 'Maestro' wa EFM Radio wana Simba SC tunakuheshimu acha Kutuudhi kwa Kumfagilia Mchezaji mbovu Kapama kuwa asiachwe Simba SC

Ibrahim Masoud 'Maestro' wa EFM Radio wana Simba SC tunakuheshimu acha Kutuudhi kwa Kumfagilia Mchezaji mbovu Kapama kuwa asiachwe Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie Kazi sawa?

Tena GENTAMYCINE nikuchane Mubashara hapa hapa JamiiForums kuwa kama kuna mchezaji mbovu, mzigo na hana Hadhi ya Kuichezea Simba SC yetu / yangu ni huyu Nassoro Kapama na Gadiel Michael Kamagi.
 
Back
Top Bottom