Ibrahim Masoud wa E-TV ni Mtangazaji wa hovyo kabisa wa Mpira

Ranger9

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
1,613
Reaction score
3,002
Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man.

Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata matokeo kwenye huu mchezo,

WTF E-Tv????🚮🚮🚮🚮
 
Kwani nasema uongo ndugu zangu?
 
Ni dugu moja!

Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man.

Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata matokeo kwenye huu mchezo,

WTF E-Tv????🚮🚮🚮🚮
Tanzania hatuna watangazaji wa maana toka watoke kina Charles Hilary na kina Mkamia, hawa wa sasa ni full vituko. Nashangaa comedian kama Oscar Oscar kuwa mchambuzi wa mpira wakati hajuwi lolote kuhusu mpira, na wako wengi hawa watu wajiitao wachambuzi uchwara.
 
Back
Top Bottom