Kiko wapi?Kwan uongo matokeo mtapata wapi
UBUNTU BOTHO
Imetokea nini? we naye kilaza tu kama Bashite na Ibrahim MasoudSasa si ndivyo ilivyotokea!
Kilaza mwingine huyu hapaKwan uongo matokeo mtapata wapi
UBUNTU BOTHO
Kwani nasema uongo ndugu zangu?Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man.
Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata matokeo kwenye huu mchezo,
WTF E-Tv????๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Tanzania hatuna watangazaji wa maana toka watoke kina Charles Hilary na kina Mkamia, hawa wa sasa ni full vituko. Nashangaa comedian kama Oscar Oscar kuwa mchambuzi wa mpira wakati hajuwi lolote kuhusu mpira, na wako wengi hawa watu wajiitao wachambuzi uchwara.Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man.
Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata matokeo kwenye huu mchezo,
WTF E-Tv????๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ