Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa IDF amejeruhiwa kiasi kutokana na vipande vya bomu.

Mapigano makali mpakani kati ya Israel na Hezbollah yaliendelea Jumanne, ikijumuisha shambulio la anga la Israeli katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kundi la kigaidi la Hezbollah likirusha zaidi ya maroketi 100 kuelekea kaskazini mwa Israel, na kusababisha milio ya ving’ora katika miji ikiwemo Haifa, Safed, Nazareth, na Yokne’am pamoja na maeneo ya Galila

Soma Pia: IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

========
IDF strike in Beirut kills Hezbollah missile chief, as rockets pummel Israel

Lebanese authorities say 6 killed and 15 wounded in strike, some 560 killed since conflict spiked; IDF reservist moderately hurt by shrapnel

Intense cross-border fighting between Israel and Hezbollah continued on Tuesday, including an Israeli airstrike in the Lebanese capital of Beirut, as the terror group fired more than 100 rockets at northern Israel, setting off sirens in cities including Haifa, Safed, Nazareth, and Yokne’am as well as across the Galilee.

The target of the strike in the Dahiyeh suburb of Beirut was the head of Hezbollah’s rocket and missile division Ibrahim Qubaisi. The Israel Defense Forces said he had been killed in the attack, alongside other top commanders in the terror group.

Qubaisi commanded Hezbollah’s various rocket and missile units, including its precision-guided missile unit, according to the military.

“Over the years and during the war, he was responsible for the launches at the Israeli home front. Qubaisi was a central source of of knowledge in the field of missiles, and was close to the senior military leadership of Hezbollah,” the IDF said.

He had joined Hezbollah in the 1980s, and had served in several other significant roles, including a senior position in the terror group’s operations division and the head of the Badr regional division, the IDF added.
 
Hezbollah wamefaidika na kitu gani kwenye vita hii yaliyoingia kijinga? Wamenunua vita wasiyoiweza Hadi Iran nae kaona hakuna namna zaidi ya kuomba umoja wa mataifa kuingilia Kati kuinusuru Lebanon.

Angalau Gaza kulikuwa na kelele za dunia nzima kupinga mauaji ya wapalestina lkn hawa wajinga wameachwa Israel anajipigia anavyotaka
 
Hao makamanda wa hezbollah si waingie mapangoni kama Nasrullah watamalizwa na israel anaendelea kuwala vichwa
 
Hezbollah wamefaidika na kitu gani kwenye vita hii yaliyoingia kijinga? Wamenunua vita wasiyoiweza Hadi Iran nae kaona hakuna namna zaidi ya kuomba umoja wa mataifa kuingilia Kati kuinusuru Lebanon.

Angalau Gaza kulikuwa na kelele za dunia nzima kupinga mauaji ya wapalestina lkn hawa wajinga wameachwa Israel anajipigia anavyotaka
Ila na wenyewe si wanyonge kama wapalestina, wanajitutumua wanarusha vikombora vya hapa na pale.
 
Kwani umalaya ni desturi ya kikristo au kislam? uislam na umalaya wapi na wapi hao mnao waona wenye majina ya kislam wakawa ni malaya, basi hao si waislam watakuwa wa huko huko kanisani, wanatumia majina tu ya kislam 😄
Kanisa la wapi tena dida shaibu
 
Kwani umalaya ni desturi ya kikristo au kislam? uislam na umalaya wapi na wapi hao mnao waona wenye majina ya kislam wakawa ni malaya, basi hao si waislam watakuwa wa huko huko kanisani, wanatumia majina tu ya kislam 😄
Tuulize sisi tunaowatafuna Kila siku hao kina Hadija, Halima na Swaumu!! Ziko nje nje tu
 
Back
Top Bottom