Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Fala la mwisho kabisa hawa ndio wale wanataka wakoseme kilimo cha kisasa na ufugaji Israel, afu wanapewa bunduki nenda kafie mbele huko.
Dogo acha jazba jikaze tu maumivu makali uliyonayo.
 
Hahaha Imaam Hussein FOREVER maamaee
We unajua Hussein ni nani huyo ni mjukuu wa Mtume Muhammad, Hussein ni mtoto wa Fatma zahra mwanamke aliye bashiriwa pepo, na atakuwa wa kwanza kuingia peponi. W e baki na fitna za kijinga, tuambie basi Mashia kwanini wanaenda Al Haji Makkah Al Mukaram kama hija ipo Karbala? kama unavyo dai wewe mzizi wa fitina za Paulo. Hussein baba yake anaenda peponi na mama yake peponi, na yeye peponi. Nani kwenye family hapa dunia kambiwa Baba, Mama na Mtoto wanaenda peponi zaidi ya family ya Hussein.

We akili zako na badhi ya ma Sunni ambao Israel hata awapandie dada zao, watamkumbatia tu, sababu wanasifiwa na Westerm eti moderate Muslim's 😄
 
Naona mnaona wivu sana kila siku kuwataja mabikra wa peponi, mimi nadhani hizo bikra hazipatikani kanisani yote ni mimalaya tu au vipi😄

Kazimeni moto huko

View: https://youtu.be/Ai7vwN1YXgs?si=icXHNGrFsZAfd3AM

Huu ushabiki ungekuwa na nguvu kama vifo vingekuwa upande mmoja tu kwa "Waisraeli" pekee tu kufa.
Kama Hamas ndiye mwanzilishi wa uvamizi october.7 last year na sasa Hamas wamevunjiwa majumba na death sasa ni zaidi ya 40,000. Basi hakuhesabu gharama vizuri . Unavamia na kuuwa waisraeli 1,200 kwa hasara ya vifo vya watu wako 40,000 na wakimbizi zaidi ya laki 300,000 sijui kama ni akili au tope. Hezbollah kaingilia vita, kapiga mabomu, Israel amekaa kimya. Revenge ya kwanza tu, spacer imelamba makumi na injures mamia hawana macho, mikono nk. Akili ya kuingilia ugomvi usiokuhusu ukipoteza zaidi kuliko kushinda haifai.
 
News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa IDF amejeruhiwa kiasi kutokana na vipande vya bomu.

Mapigano makali mpakani kati ya Israel na Hezbollah yaliendelea Jumanne, ikijumuisha shambulio la anga la Israeli katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kundi la kigaidi la Hezbollah likirusha zaidi ya maroketi 100 kuelekea kaskazini mwa Israel, na kusababisha milio ya ving’ora katika miji ikiwemo Haifa, Safed, Nazareth, na Yokne’am pamoja na maeneo ya Galila

Soma Pia: IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

========
IDF strike in Beirut kills Hezbollah missile chief, as rockets pummel Israel

Lebanese authorities say 6 killed and 15 wounded in strike, some 560 killed since conflict spiked; IDF reservist moderately hurt by shrapnel

Intense cross-border fighting between Israel and Hezbollah continued on Tuesday, including an Israeli airstrike in the Lebanese capital of Beirut, as the terror group fired more than 100 rockets at northern Israel, setting off sirens in cities including Haifa, Safed, Nazareth, and Yokne’am as well as across the Galilee.

The target of the strike in the Dahiyeh suburb of Beirut was the head of Hezbollah’s rocket and missile division Ibrahim Qubaisi. The Israel Defense Forces said he had been killed in the attack, alongside other top commanders in the terror group.

Qubaisi commanded Hezbollah’s various rocket and missile units, including its precision-guided missile unit, according to the military.

“Over the years and during the war, he was responsible for the launches at the Israeli home front. Qubaisi was a central source of of knowledge in the field of missiles, and was close to the senior military leadership of Hezbollah,” the IDF said.

He had joined Hezbollah in the 1980s, and had served in several other significant roles, including a senior position in the terror group’s operations division and the head of the Badr regional division, the IDF added.

View: https://x.com/CherylWroteIt/status/1838876398636683578
 
Hio ni Mila ya kanisani dogo wapi ndoa za mashoga zinafungwa zaidi ya kanisani. We ni shoga tu hata ukwepe vipi.
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
 
Hio ni Mila ya kanisani dogo wapi ndoa za mashoga zinafungwa zaidi ya kanisani. We ni shoga tu hata ukwepe vipi.
"Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chake mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
Na Lebanon ina hak
Hezbollah wamefaidika na kitu gani kwenye vita hii yaliyoingia kijinga? Wamenunua vita wasiyoiweza Hadi Iran nae kaona hakuna namna zaidi ya kuomba umoja wa mataifa kuingilia Kati kuinusuru Lebanon.

Angalau Gaza kulikuwa na kelele za dunia nzima kupinga mauaji ya wapalestina lkn hawa wajinga wameachwa Israel anajipigia anavyotaka
Huy
Mpuuzi wewe!
Mamaangu ameolewa akiwa muhitimu wa chuo cha utumishi wa Umma magogoni Posta.
Akiwa na miaka 29.
Na alikua anajistiri na akaolewa.

Kama mmezoea ukaaji uchi ni nyie.
Huyu huyu ninayemjua? Au mwingine
 
Na Lebanon ina hak
Hezbollah wamefaidika na kitu gani kwenye vita hii yaliyoingia kijinga? Wamenunua vita wasiyoiweza Hadi Iran nae kaona hakuna namna zaidi ya kuomba umoja wa mataifa kuingilia Kati kuinusuru Lebanon.

Angalau Gaza kulikuwa na kelele za dunia nzima kupinga mauaji ya wapalestina lkn hawa wajinga wameachwa Israel anajipigia anavyotaka

Raia wa Lebanoni wanapata shida ambayo faida yake haiwafikii zaidi ya kuwaachia majanga na vilema na huzuni ya vifo, walichokiamua viongozi wa Hezbollah kina waathiri sana wananchi wa chini bila huruma.
Alafu Lebanon ni nchi maskini sana..hali ya raia ni mbaya sana... hizbollah walitahadharishwa kuwa wasiingilie mgogoro usiowahusu
 
"Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chake mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Lete ushahidi kutoka kwenye Qur'an kuthibitisha madai yako.
 
Hayo si madai yangu. Ni Hadithi au Sunnah ambazo ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha utume. Hadithi hizi ni moja kati ya miongozo ya imani kwa Waislamu.
Hayo ni madai yako kwasababu katika uislam kitu chochote kinachoenda tofauti na Qur'an basi ni uongo na uzushi.
Ulichokileta hapa HAKIENDANI NA MITAZAMO YA QUR'AN hivyo ni uzushi.
Rudi kwa waliokudanganya wakakudanganye tena.
 
We unajua Hussein ni nani huyo ni mjukuu wa Mtume Muhammad, Hussein ni mtoto wa Fatma zahra mwanamke aliye bashiriwa pepo, na atakuwa wa kwanza kuingia peponi. W e baki na fitna za kijinga, tuambie basi Mashia kwanini wanaenda Al Haji Makkah Al Mukaram kama hija ipo Karbala? kama unavyo dai wewe mzizi wa fitina za Paulo. Hussein baba yake anaenda peponi na mama yake peponi, na yeye peponi. Nani kwenye family hapa dunia kambiwa Baba, Mama na Mtoto wanaenda peponi zaidi ya family ya Hussein.

We akili zako na badhi ya ma Sunni ambao Israel hata awapandie dada zao, watamkumbatia tu, sababu wanasifiwa na Westerm eti moderate Muslim's 😄
Ila wewe jamaa. Yani hiyo paragraph ya mwisho. Cheka balaa.
 
Huu ushabiki ungekuwa na nguvu kama vifo vingekuwa upande mmoja tu kwa "Waisraeli" pekee tu kufa.
Kama Hamas ndiye mwanzilishi wa uvamizi october.7 last year na sasa Hamas wamevunjiwa majumba na death sasa ni zaidi ya 40,000. Basi hakuhesabu gharama vizuri . Unavamia na kuuwa waisraeli 1,200 kwa hasara ya vifo vya watu wako 40,000 na wakimbizi zaidi ya laki 300,000 sijui kama ni akili au tope. Hezbollah kaingilia vita, kapiga mabomu, Israel amekaa kimya. Revenge ya kwanza tu, spacer imelamba makumi na injures mamia hawana macho, mikono nk. Akili ya kuingilia ugomvi usiokuhusu ukipoteza zaidi kuliko kushinda haifai.
We lala usingizi kama waisrael wamekufa 1200, hapo piga mara 10 ndio unapata jibu la kweli. Israel toka lini akasema watu wake wamekufa, hata wafe 1000 atakuambia mmoja tu. Mwambie awachie media zichukue kipigo anacho pewa, ndio utapata jibu kwanini anazuia.
 
Wanajeshi profeshno kabisa hawa wanalenga makamanda wakubwa kabisa wa magaidi. Wakati migaidi wanachinja watoto na vibibi vizee na kuua makuruta wa IDF wadogo wadogo.
 
kamanda kalambishwa udongo hisbollah imebaki na makuruta sasa
 
News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika shambulio, huku watu wapatao 560 wakiwa wameuawa tangu mgogoro ulipozidi; Mwana jeshi wa akiba wa IDF amejeruhiwa kiasi kutokana na vipande vya bomu.

Mapigano makali mpakani kati ya Israel na Hezbollah yaliendelea Jumanne, ikijumuisha shambulio la anga la Israeli katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kundi la kigaidi la Hezbollah likirusha zaidi ya maroketi 100 kuelekea kaskazini mwa Israel, na kusababisha milio ya ving’ora katika miji ikiwemo Haifa, Safed, Nazareth, na Yokne’am pamoja na maeneo ya Galila

Soma Pia: IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

========
IDF strike in Beirut kills Hezbollah missile chief, as rockets pummel Israel

Lebanese authorities say 6 killed and 15 wounded in strike, some 560 killed since conflict spiked; IDF reservist moderately hurt by shrapnel

Intense cross-border fighting between Israel and Hezbollah continued on Tuesday, including an Israeli airstrike in the Lebanese capital of Beirut, as the terror group fired more than 100 rockets at northern Israel, setting off sirens in cities including Haifa, Safed, Nazareth, and Yokne’am as well as across the Galilee.

The target of the strike in the Dahiyeh suburb of Beirut was the head of Hezbollah’s rocket and missile division Ibrahim Qubaisi. The Israel Defense Forces said he had been killed in the attack, alongside other top commanders in the terror group.

Qubaisi commanded Hezbollah’s various rocket and missile units, including its precision-guided missile unit, according to the military.

“Over the years and during the war, he was responsible for the launches at the Israeli home front. Qubaisi was a central source of of knowledge in the field of missiles, and was close to the senior military leadership of Hezbollah,” the IDF said.

He had joined Hezbollah in the 1980s, and had served in several other significant roles, including a senior position in the terror group’s operations division and the head of the Badr regional division, the IDF added.
Hadi saizi wamefikia ngapi???
Hezbollah waliouawa
 
Back
Top Bottom