Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Kanisa la wapi tena dida shaibu
Makanisa yote ni uchi uchi tu miguu wazi wazi na matiti nje nje we huoni kina yule jamaa, mpa wake zao wanazalishwa na wasaidizi wao pale kanisani na wanajua wale sio watoto zao bado wanakaa na wake zao.

Nyie wenyewe sikila kukicha mnasema bikra kwa Waislam tu au sio nyie kanisani hamna bikra.
 
Kwani mashia sio waislam?
Shia ni Muislam wachana na huyo bwege Mulize nini mana ya Uislam hajui? Hao ma Sunni wanao sema Shia sio Waislam kusali hawasali waseme wenzao sio Waislam 😄

Mimi sio Shia wala Sunni lakini namini Uislam ni kuamini Mungu ni mmoja tu na Mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu na kufata Arkan Al Islam na Arkan Al Imani . Sa vipi Shia asiwe Muislam na wao Waislam, hawasali, wazinifu, walevi, wanawasaidia Israel mpaa kuwapelekea vyakula, wanaona genocide abayo anafanya Israel, na bado wanankumbatia Israel huo ndio Uislam?

Kwa tarifa yenu Lebanon wako wakristo wanawasupport Hezbullah na wako against na Israel, kwa hio hao sio wakristo? Kuna wakristo wanamsimamo mzuri kuliko badhi ya ma Sunni wanao waita wenzao sio Waislam.
 
Hakuna mkristo anayesupport ugaidi.

Na kwa mujibu wa Mwislam by choice mashia ni makafir
 
Naona mnaona wivu sana kila siku kuwataja mabikra wa peponi, mimi nadhani hizo bikra hazipatikani kanisani yote ni mimalaya tu au vipi😄

Kazimeni moto huko

View: https://youtu.be/Ai7vwN1YXgs?si=icXHNGrFsZAfd3AM
Hivi ukisha wabikiri baada ya mda wanakuwa bikira tena? Halafu eneo la kufanyia hizo ngono peponi ni kwenye uwazi kama uwanja wa Benjamin Mkapa au kuna vyumba kwa ajili ya faragha? Halafu hao bikira ni waarabu tu au kuna race mbali mbali na wamasai wamo na wasukuma na wachina? Je kuna option yakuchagua upewe mixer ( yaaaani kwenye wale 72 wawe mchanganyiko wahindi,warabu, waisraeli,wakorea,wake ya) Na Je idadi ya mabikira ina match na wanaume au una ruhusiwa kungonoka hata zaidi ya bikira 72? Je inaruhusiwa ku share? Yaaaani anaofanya nao Osama na Saddam sasa hivi unaweza kwenda kuwala na wewe?
 
Ndio Shia ndo waislam wa kweli chini ya kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S. Imaam ndo aliukomboa kuutetea na kuulinda uislamu kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Umeshsona ummah wa uislam wa kweli wakihiji Karbala wewee makkah cha mtoto.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S
 
Nini wewe mama yako angeamua kujifunika kama Afghanistan baba yako angemuona?? Au unaona raha tu kuongea ongea utumbo wako hapa?.......dini dini au ujui kama zilikuja na maboti kutoka nje...... wewe endelea kuabudu miti na majabali ndio sahizi yako
 
Nini wewe mama yako angeamua kujifunika kama Afghanistan baba yako angemuona?? Au unaona raha tu kuongea ongea utumbo wako hapa?.......dini dini au ujui kama zilikuja na maboti kutoka nje...... wewe endelea kuabudu miti na majabali ndio sahizi yako
Mama yangu msomali amekua akijifunika niqab hadi sasa na baba yangu amemuoa.
Usilete justification za kipumbavu za kukaa uchi fala wewe.
 
Leo na wao wameshusha ballistic makao makuu ya Mossad tele aviv waliohusika kumuua kamanda wao hapo wao watasema hajafa mtu
 
Raia wa Lebanoni wanapata shida ambayo faida yake haiwafikii zaidi ya kuwaachia majanga na vilema na huzuni ya vifo, walichokiamua viongozi wa Hezbollah kina waathiri sana wananchi wa chini bila huruma.
 
Unapiganaje na mtu anawajua nje ndani hivi? Yaani kwenye jeshi lenu anajua kila mtu na majukumu yake na mbaya zaidi anajua pakuwapata. Hii sio nzuri.
Yaani jamaa kupitia zile pagers alifanikiwa kuanalyze movements za kila mtu saa hizi kakaa kwenye dashboard anaamua aue nani aache nani!
 
Mama yangu msomali amekua akijifunika niqab hadi sasa na baba yangu amemuoa.
Usilete justification za kipumbavu za kukaa uchi fala wewe.
Wapi ........ameletewa mume huyo ..........hana jeuri ya kwenda kumtafuta ampendae wakati kaolewa na na miaka 16...........shubamiti yaani nyie ndio jamii ya kifara kuliko jamii zote hapa duniani .......mijinga kabisa iliyo haribu kwao sasa haina pa kukaa inatanga tanga dunia nzima .........tena mimi baba yako mdogo nimetom@@##% ba msomali mmoja juzi kati alikuwa yupo yupo tu nilikutana naye KFC barangulu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…