Ibrahim sanya (M.B) apewa SUPRISE na mkewe!

Ibrahim sanya (M.B) apewa SUPRISE na mkewe!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Mbunge wa mji mkongwe kupitia CUF,amepata suprise baada ya kutembelewa ghafla na mke wake huko dodoma.mbunge huyu alishangaa kumkuta mkewe yuko reception akimsubiria.

Je huu ni wivu au mapenzi ya kweli?
 
hayo ni mapenzi banaa. na wanaume wachache sana wana uthubutu wa kuwasifia hadharani wake zao kama alivyofanya huyu bwana! i am green with jelous,lol!
 
Alitaka kumfumania ndo maana kaenda kimya kimya
 
hizi suprise hizi

angegongana na nyumba ndogo je hapo?
 
suprise mbona ni jambo la kawaida sana mkuu...wewe hujawahi kufanyiwa suprise au kumfanyia mwenzi wako?
 
Duh ! Naona wanamagamba wamemwamsha mh wa kulala (wasira) kwa kugonga meza
 
Duh!Hii inaweza kubadilika na kuwa fumanizi la gafla,nawashauri wake zetu wajitahidi kutoa taarifa pindi wanapotaka kuja kutusalimia sisi waume zao!!
 
huyu mbunge ndo juzi alikuwa anapayuka bungeni weeeeeeee.......hahahhaa
 
kaja kukusanya allowances wanajega pale mfenesini hahaaaaaaa wanataka kuhama kule mwembeladu sababu walikosa nyumba ya kununua kiembe samaki hivyo hawana sabahu tena ya kupangisha nyumba yao mwembemakumbi ingawa mtoto wao anasoma skuli ya mnazi mmoja
 
asee huyo mama anacheza na moto
au aliskia wacheza muvi kina wema
wapo pande hizo akajua ataibiwa

ila poa kila abiria anatakikana kuchunga mzigo wake
 
Ukiwa na wamama wasiojua kufumania kama huyu mbona itakuwa mwisho wa maneno?

Yaani unaenda mzee yuko kwenye kipindi cha kukusanya sitting allowance? Lol!! Si angejidai kuchelewa njiani afika mida ya night!!
 
Back
Top Bottom