Ibrahim Taore akataa kujengewa misikiti 200 na Saudi Arabia ataka uwekezaji kwenye nishati Makonda akajifunze

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Rais wa bukinafaso amekataa kujengewe misikiti 200 na soudia na kutaka pesa hizo zielekezwe kwenye nishati jambo ambalo ni nadra kwa wavaa kobazi wengi hapa afrika .

Hapa bongo lala kila mtu akitaka kuchota akili za wavaa kobazi utasikia anajenga misikiti hata ni pesa za wizi .

Ibrahim Traore amewavutia wasomi wengi baada ya kubaini kuwa matatizo ya Bukinafaso sio sehemu ya kuswali kwani hata ndani ya sebule ya mtu unaweza kuswali

Mafusadi wa Bongo wajifunze hii ya kutataa misikiti 200 ya Saudi Arabia

USSR
FB_IMG_1791800186124.jpg
 
Saudia ni kibaka tu ,saudia sio rafiki ..Hao akijenga urafiki naye basi anaingizwa kwenye mkenge wa USA ...Traite aliona mbali ,huyo sio wa kukaa naye.
 
Rais wa bukinafaso amekataa kujengewe misikiti 200 na soudia na kutaka pesa hizo zielekezwe kwenye nishati jambo ambalo ni nadra kwa wavaa kobazi wengi hapa afrika .

Hapa bongo lala kila mtu akitaka kuchota akili za wavaa kobazi utasikia anajenga misikiti hata ni pesa za wizi .

Ibrahim Traore amewavutia wasomi wengi baada ya kubaini kuwa matatizo ya Bukinafaso sio sehemu ya kuswali kwani hata ndani ya sebule ya mtu unaweza kuswali

Mafusadi wa Bongo wajifunze hii ya kutataa misikiti 200 ya Saudi Arabia

USSR
View attachment 3689088
Namuona Tlatalaa kagonga like hapo.. Zube na Mwaipopo wanasemaje wanajuwa nini kinaendelea kwenye utawala wa mwamba kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani??? dada yetu wataifa la Zanziber Mwashamba anasemaje kuhusu huyu Raisi namba moja wa Africa.. Akishika nchi Tundu Lisu amualike siku yake ya kuapishwa. Mbona magazeti ya bongo hayamuandiki, watawala hawataki pia?
 
Rais wa bukinafaso amekataa kujengewe misikiti 200 na soudia na kutaka pesa hizo zielekezwe kwenye nishati jambo ambalo ni nadra kwa wavaa kobazi wengi hapa afrika .

Hapa bongo lala kila mtu akitaka kuchota akili za wavaa kobazi utasikia anajenga misikiti hata ni pesa za wizi .

Ibrahim Traore amewavutia wasomi wengi baada ya kubaini kuwa matatizo ya Bukinafaso sio sehemu ya kuswali kwani hata ndani ya sebule ya mtu unaweza kuswali

Mafusadi wa Bongo wajifunze hii ya kutataa misikiti 200 ya Saudi Arabia

USSR
View attachment 3689088
Kuna meli ya jeshi la China ambayo kufanya tiba bure kwenye nchi za pwani ya Afrika, meli ile usipokuja Tanzania Makonda akamai yeye na Magufuli wameiagiza toka China kuja kuwatibu watanzania Na wameilipia! Akijua huo ni utapeli.
 
Rais wa bukinafaso amekataa kujengewe misikiti 200 na soudia na kutaka pesa hizo zielekezwe kwenye nishati jambo ambalo ni nadra kwa wavaa kobazi wengi hapa afrika .

Hapa bongo lala kila mtu akitaka kuchota akili za wavaa kobazi utasikia anajenga misikiti hata ni pesa za wizi .

Ibrahim Traore amewavutia wasomi wengi baada ya kubaini kuwa matatizo ya Bukinafaso sio sehemu ya kuswali kwani hata ndani ya sebule ya mtu unaweza kuswali

Mafusadi wa Bongo wajifunze hii ya kutataa misikiti 200 ya Saudi Arabia

USSR
View attachment 3689088
Kuna meli ya jeshi la China ambayo kufanya tiba bure kwenye nchi za pwani ya Afrika, meli ile usipokuja Tanzania Makonda akamai yeye na Magufuli wameiagiza toka China kuja kuwatibu watanzania Na wameilipia! Huku akijua huo ni utapeli.
 
Bakwata ambayo ni jumuiya ya CCM ndiyo inaudhalilisha Uislamu hapa Tanganyika.
 
Rais wa bukinafaso amekataa kujengewe misikiti 200 na soudia na kutaka pesa hizo zielekezwe kwenye nishati jambo ambalo ni nadra kwa wavaa kobazi wengi hapa afrika .

Hapa bongo lala kila mtu akitaka kuchota akili za wavaa kobazi utasikia anajenga misikiti hata ni pesa za wizi .

Ibrahim Traore amewavutia wasomi wengi baada ya kubaini kuwa matatizo ya Bukinafaso sio sehemu ya kuswali kwani hata ndani ya sebule ya mtu unaweza kuswali

Mafusadi wa Bongo wajifunze hii ya kutataa misikiti 200 ya Saudi Arabia

USSR
View attachment 3689088
Hadithi za mikeshani mkisha zagambuana.
Tupe source yako na utueleze ni nchi gani Saud Arabia imejenga misikiti hata miwili nje ya kwao.
 
Vipi hao saudia wamekubali ku invest kwenye nishati au wameingia mitini baada ya tamko hilo??🤔🤔.
 
Back
Top Bottom