mkuu ukisema mama, ukumbuke kumalizia abduli, yaani "mama abdul''. Mama yako pekee ni yule aliyekuzaa! Amin!Yule kijana ni level nyingine kwa sasa!
Lini Mama ataitwa Moscow kwa heshima zote kama anazopewa huyo kijana?
Aliona miyeyusho tu kujaHivi kwenye ule mkutano wa nishati afrika si mlisema traore atahudhuria, mbona hakuja?
Kwa uongozi upi tuliokuwa bao mpaka tuache kujishusha??Mbona tunakua wepesi sana wa kujishusha kama taifa?
ChiefKwa uongozi upi tuliokuwa bao mpaka tuache kujishusha??
Tujisahihishe kama tunakoseaMbona tunakua wepesi sana wa kujishusha kama taifa?
ApedomiaTujisahihishe kama tunakosea
Huyu jamaa mnamkuza kupindukia.Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika.
Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo.
Nchi ya Tanzania ni tajiri ila watu ni maskini alafu tunasema mitano tena.
Mitano tena 😁Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika.
Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo.
Nchi ya Tanzania ni tajiri ila watu ni maskini alafu tunasema mitano tena.
Waafrika vigezo vyao ya uongozi bora viko chini sana
japo jeshi letu lina nidhamu, hivi hakuna vijana jeshini wazalendo wanaovutiwa na mwanajeshi kijana traore wa burkina faso kuwa kama yeye kwa maslahi ya nchi?Yule kijana ni level nyingine kwa sasa!
Lini Mama ataitwa Moscow kwa heshima zote kama anazopewa huyo kijana?
Bado hatuna uhakika kama Traole ni mzalendo kweli au ni propaganda, inawezekana jw wa bongo ni wazalendo zaidi. Muda utaongeaRaia tu wanavutiwa na mwanajeshi huyu kijana mzalendo wa nchi yake, hivi hakuna kijana mwanajeshi anayevutiwa kuwa kama ibrahim traore naye atamani kufanya jambo la kizalendo kwa faida ya taifa?
Nyumbu la lissu hilo, achana nalo!Mbona tunakua wepesi sana wa kujishusha kama taifa?