Sasa utamlinganisha na huyu wa kwetu? Kijana yuko vizuri. Hapa bongo chama kimegeuka kuwa genge la mbweha (wolves).
Sasa utamlinganisha na huyu wa kwetu? Kijana yuko vizuri. Hapa bongo chama kimegeuka kuwa genge la mbweha (wolves).
Tupe mafanikio yake ChiefSasa utamlinganisha na huyu wa kwetu? Kijana yuko vizuri. Hapa bongo chama kimegeuka kuwa genge la mbweha (wolves).
Uko sahihi mkuu ukweli usemwe popote bila kujali jinsia ya mtumkuu ukisema mama, ukumbuke kumalizia abduli, yaani "mama abdul''. Mama yako pekee ni yule aliyekuzaa! Amin!
Wewe unavyomwita Nyerere baba wa Taifa, alizaa na mamako mkuu?.mkuu ukisema mama, ukumbuke kumalizia abduli, yaani "mama abdul''. Mama yako pekee ni yule aliyekuzaa! Amin!
Una hiyo clip Mkuu tuisikilize hapa Jukwaani?.Ibrahim traore alisema hawezi kufanya ziara Kwa Nchi inayoteka watu na kuwaua mchana kweupe kama Tanzania.
nakataa,sijamwita hivyo nyerere, kama wewe ulivyofanya kwa samia. Asante!Wewe unavyomwita Nyerere baba wa Taifa, alizaa na mamako mkuu?.
Wa kwetu wanajua kucheza singeli kwenye sikukuu za uhurujapo jeshi letu lina nidhamu, hivi hakuna vijana jeshini wazalendo wanaovutiwa na mwanajeshi kijana traore wa burkina faso kuwa kama yeye kwa maslahi ya nchi?
Serikali yetu ndo chanzo cha haya yote , inaacha kujitegemea inaana dandia majasho ya majirani mf umeme , unafuata Ethiopia wkt una mabwawa mengi na maeneo strategic mengi ya uzalishaj umeme hapa ndanMbona tunakua wepesi sana wa kujishusha kama taifa?
Samia ana nin cha kulinganishwa na Nyerere , mbona dini inatufanya misukulenakataa,sijamwita hivyo nyerere, kama wewe ulivyofanya kwa samia. Asante!
Yaani kawa kama zile jokes zamani
Hilo sio swali mkuuTupe mafanikio yake Chief
Tupe mafanikio yakeHilo sio swali mkuu
Uliza swali linaloeleweka, alafu si kazi yangu mkuu.Tupe mafanikio yake