Ibrahim Traore hawezi kuja Tanzania mkajizolea umaarufu. Hishima kubwa aliyopata urusi kwenye Victory Day

japo jeshi letu lina nidhamu, hivi hakuna vijana jeshini wazalendo wanaovutiwa na mwanajeshi kijana traore wa burkina faso kuwa kama yeye kwa maslahi ya nchi?
Wa kwetu wanajua kucheza singeli kwenye sikukuu za uhuru
 
Mbona tunakua wepesi sana wa kujishusha kama taifa?
Serikali yetu ndo chanzo cha haya yote , inaacha kujitegemea inaana dandia majasho ya majirani mf umeme , unafuata Ethiopia wkt una mabwawa mengi na maeneo strategic mengi ya uzalishaj umeme hapa ndan
 
wabongo bana, acheni kumtukuza huyo dikteta uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…