Ibrahim Traoure alifanya vizuri Sana darasani na kufaulu na alama za juu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana.

Walimu Na wanafunzi waliosoma naye wanasema ilikuwa mkimya Na akili quiet and intelligent.

Baada ya kumaliza elimu ya primary Bondokuy, alichaguliwa kwenda secondary/high school Bono Dioulasso ambapo alipita na lama za juu Na kujiunga university of ougadogou Na kusomea Geology na pia hapo kupita Kwa daraja la juu.

Licha ya karama Yake ya uongozi na akili za kipekee intelligence Ibra Yuko vizuri kwenye combat na mkono yani martial arts.

Ukijileta mbele Yake hovyo hovyo anakudhibiti vyema Tu Kwa mikono Yake Kwa kukulisha ngumi za uhakika.

Hatimaye Africa Tumempata, Gaddafi mpya na Thomas Sankara.

Miaka miwili Tu bwana mdogo kafanya mageuzi ya hatarii je akiendelea Hadi 2045 hakuna yoyote atazamia ulaya na Marekani.

Kinachotakiwa no kumlinda Kwa sala, maombi na nafsi yetu.

Waafrika tumeonewa na kudharauliwa Sana. Angalau heshima inajirudia na kupitia Ibrahim machozi yetu yanafutwa.

Nyau de adriz
 
Huyo afanye haraka arejeshe madaraka kwa raia kama anataka aendelee kuishi.

Kazi ya jeshi sasa hivi ni kuondoa tawala za kidhalimu kama hii ya ccm na kurejesha utawala kwa raia na sio kung'ang'ania kubakia madarakani. Kiongozi wa kijeshi anayekomaa kurejesha utawala kwa raia lazima ataliwa kichwa.
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
 
State based economy is fake! Ajenge TAASISI imara na sio kuimarisha personality yake tu! Akifa leo Kila kitu chake kitamfuate!

Ajenge uchumi wa watu, shughuli za biashara ziachiwe sector binafsi yeye a-regulate tu!

Haya anayo yafanya yalifanywa na Nyerere, Kaunda wakaungia pia!
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
Huyo afanye haraka arejeshe madaraka kwa raia kama anataka aendelee kuishi.

Kazi ya jeshi sasa hivi ni kuondoa tawala za kidhalimu kama hii ya ccm na kurejesha utawala kwa raia na sio kung'ang'ania kubakia madarakani. Kiongozi wa kijeshi anayekomaa kurejesha utawala kwa raia lazima ataliwa kichwa.
Tafuteni kwanza kujua nini kinafanywa na mataifa ya magharibi kwa nchi za Africa. Nina hakika mmeisha ziona clips za video nyingi tu zinazo zungumzia mipango ya Wazungu wa Ulaya kwa Africa. Sometimes inalazimika kua upande wa Russia na Korea hata kama hupendi. Fanyeni utafiti mdogo tu; kwanini nchi zinazo zungumza Kifaransa Africa hapa ndio zinaongoza kwa ufukara while zinazo rasilimali za kutosha? Nchi kama Gambia ina watu chini ya 5M, mafuta ya kutosha lakini they are very poor, why? Ufaransa anazinyonya hizo nchi to the maximum na anaona ni halali kufanya hivo, bahati mbaya USA tunae msifia sana ndio kilanja wa kusimamia unyonyaji huo kwetu, yeyote atakae taka win win situation lazima atangulizwe mbele za haki, mifano ipo mingi, ni sisi tu kurudisha kumbukumbu nyuma tutajua. Mkiyajua machache yaliokua yakifanywa na Ufaransa kwa Bukinafaso, Mali, Niger then mkalinganisha na mlicho kiandika, brothers mnaweza kulia machozi or else labda kama mnadhani sie kuibiwa, kunyang'anywa chochote na western ni haki yetu ya msingi 😢 😭 😢 😭
 
Habari kama hizi DJ mods wa JF huwa kama zinakuwa playlist gost PHP anavyotaka
 
Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana.

Walimu Na wanafunzi waliosoma naye wanasema ilikuwa mkimya Na akili quiet and intelligent.

Baada ya kumaliza elimu ya primary Bondokuy, alichaguliwa kwenda secondary/high school Bono Dioulasso ambapo alipita na lama za juu Na kujiunga university of ougadogou Na kusomea Geology na pia hapo kupita Kwa daraja la juu.

Licha ya karama Yake ya uongozi na akili za kipekee intelligence Ibra Yuko vizuri kwenye combat na mkono yani martial arts.

Ukijileta mbele Yake hovyo hovyo anakudhibiti vyema Tu Kwa mikono Yake Kwa kukulisha ngumi za uhakika.

Hatimaye Africa Tumempata, Gaddafi mpya na Thomas Sankara.

Miaka miwili Tu bwana mdogo kafanya mageuzi ya hatarii je akiendelea Hadi 2045 hakuna yoyote atazamia ulaya na Marekani.

Kinachotakiwa no kumlinda Kwa sala, maombi na nafsi yetu.

Waafrika tumeonewa na kudharauliwa Sana. Angalau heshima inajirudia na kupitia Ibrahim machozi yetu yanafutwa.

Nyau de adriz
Hilo jina lemyewe tu Ibrahim ni hatari na nusu
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
USA hawa support utawala wa mapinduzi. Ndio maan yupo na Soviet Union

Kama jamaa ni smart , amuweke raia wa kawaida kuwa Rais yaani ahakikishe huyo Raia anashinda Uchaguzi. Raia awe ndugu wa karibu

Hapo atakuwa Smart sana
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
Nikweli asinge zama sana sababu mzung n mzungu tu hakuna cha bure kwa mzungu
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
Dunia lazima uchague upande mkuu au Kuna taifa liko neutral unalijua labda nitajifunza kitu!?
 
Huyu kijana mwanajeshi si mbaya ila anaharibu kujiunga na urusi na korea kusini, ni wale wale wanyonyaji sawa na mabeberu tu. Alitakiwa awe neutral asiwe upande wa magharibu wala upande wa mashariki tungemuona ni bingwa kweli
Mkuu kuwa neutral ni unafiki. Mwamba amechagua kuwa moto na sio vuguvugu.
 
Burkinafaso watuazime traole kwa muda
Chichieeemu
1000414289.jpg
 
Back
Top Bottom