Ibrahimovic alipogudua Halaand kanyoa "Na ufute namba yangu"

Ibrahimovic alipogudua Halaand kanyoa "Na ufute namba yangu"

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Zlatan Ibrahimović aliwahi kumwambia Erling Haaland asikate nywele zake, akidai kuwa nguvu zake zote zilikuwa katika nywele hizo.

Baada ya Haaland kuzinyoa nywele zake, alimpigia simu Zlatan ili kumjulisha.

Zlatan Ibrahimovic: "Niblock na ufute namba yangu."

1787561173132.png
 
Back
Top Bottom