GE2025 ICC: Godfrey Malisa chukua tahadhali, usije kuwa kama Humphrey Polepole. Please and please take note of this

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa.

Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
 
Una mpa promo huyu dogo kichwa maji hana la maana

USSR
 
Chukua tahadhali, huyu Mama ameshavua nguo zote za ubinadamu. Usifanye mzaha,usalama wako uko on test, tena test kubwa.

Chukua tahadhali! Umemshika masharubu simba mla watu. Take care please.
Mama ana hali ngumu kuliko kawaida. Kama anapata usingizi basi ni wa mang'amung'amu. Kwenye system kila kitu kimetindinganywa. Hatoboi. Over
 
Naombea hivyo, lakini sioni ujasiri wa watanzania kufanya kama Nepal. Tujipe moyo tutoke 29
 
CHUKUA TAHADHALI,WATAKUTEKA NA WAKIKUTEKA KESI IMEKUFA. NAKUSHAURI KIMBIA NCHI KAMA UNAWEZA
 
Mama ana hali ngumu kuliko kawaida. Kama anapata usingizi basi ni wa mang'amung'amu. Kwenye system kila kitu kimetindinganywa. Hatoboi. Over
mbona kama mnachekesha, mnasema hatoboi wakati viwanja vya kampeni vinajaa nyomi kila mkoa, si ndiyo kura zenyewe hizo?
 
Kina cha Polepole kilikuwa kirefu sana
 
Yule malisa na Martin huwa wanaikanda serikali ilaa husikii wameguswaaa kijana ukiongea tuu siku mbilii ushapotea.
Kuna Godlisten Malisa (kijana mwanaharakati chadema) na mch. Dk. Godfrey Malisa (alifukuzwa ccm).
 
Yule malisa na Martin huwa wanaikanda serikali ilaa husikii wameguswaaa kijana ukiongea tuu siku mbilii ushapotea.
Malisa huyu?

Back
Top Bottom