Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
na sisi hatujaribiwi tusubiri siku hiyo tutakavyo pasuana ipasavyoHizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
umeandika kishabiki na kizushi mnoHabari nilizozipata muda siyo mrefu ni kwamba, Wachunguzi wa maakama ya kimataifa (International Criminal Court) ya ICC, tayari wamefika Tanzania kwa kazi maalum.
Haifaamiki wako wapi, lakini inasemekana tayari wamefanya maongezi na baadhi ya viongozi wa haki za binadamu Tanzania.
Huu nadhani ni ujumbe fika kwa Makonda, Mwigulu, Jeshi la polisi na bosi wao, "Mungu mtu wa Tanzania " Kuwa makini kwani inawezekana wakaingia the Hague.
kama kutetea katiba ni kuvunja amani utaona,,, ila ninauhakika kiongozi wenu ndio mwisho wake ana maadui wengi sana ndani na nje ya nchi,,,Chadema haitoki hapo maana wanataka kuvuruga Nchi
Duuu, umepata hata ya bundle mkuu, pole sana. Ndiyo mambo ya kuishi kwa kutumia tumbo jitahidi hivyohivyo tuChadema haitoki hapo maana wanataka kuvuruga Nchi
Wameamua kukuleta na wewe huku hats kiswahili hujui.sema hajaribiwi. Usiongee kisukuma kwenye jukwaa lenye very big reputation internally and externally, JF.Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
Wewe punga kweli nani mroho wa madaraka anaetumia majeshi kutawala ndio mroho, kuanzia kuhesabu kura unakamata watu hotelini. Chadema shida yao wafanye siasa tu hayo yakuongoza niya kijaniIcc wanaangalia mambo mengi sana, kuna wengine wanakuwa ni waroho wa madaraka wanakuwa wanaanzisha migogoro isiyokuwa na sababu ili nchi isitawalike kwa tanzania hilo halitawezekana. Ile mahakama haikanzishwa kwa ajili ya wanaokosea tu bali ni pamoja na wanaoandaa mipango ya vurugu ktk nchi