ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta

ICC yaahirisha kesi ya Rais Kenyatta

Patrick Elias

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
332
Reaction score
108
Kiongozi wa mashitaka katika mahakama ya kimataifa ya ICC, Fatou Bensouda, ameiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi ya Rais wa Kenya Uhuru

Kenyatta kwa muda usiojulikana.

Hii ni baada ya malalamiko kutoka kwake kuwa Kenya imekataa kushirikiana na mahakama hiyo katika kuikabidhi ushahidi unaohitajika kuendesha kesi kwa hiyo ina maana kuwa hana ushahidi wa kutosha dhidi ya Kenyatta.
Taarifa zinazohusiana

Serikali ya Kenya ilitakiwa kuikabidhi mahakama taarifa za kifedha za Rais Kenyatta pamoja na maelezo kuhusu mali yote anayomiliki.

Katika uamuzi uliotolewa na mahakama hiyo Fatou Bensouda amesema kuwa hana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka Rais Kenyatta ambaye anadaiwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007.

Zaidi ya watu 1,000 walifariki katika ghasia hizo. Bensouda amenukuliwa akisema kuwa halitakuwa jambo la busara kufutulia mbali kesi hiyo hasa ikizingatiwa kuwa Kenya haitaki kutoa ushahidi unaohitajika na mahakama hiyo.

Badala yake aliomba mahakama kuiahirisha kesi hiyo hadi pale Kenya itakapokubali kutoa ushahidi unaohitajika.

Kesi dhidi ya Kenyatta ilipaswa kuanza mapema mwezi Oktoba.

Source: BBC

http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/09/140905_kenyatta_icc_kesi.shtml

Yaani huyu mama anarukaruka tu wala hajui hii case akina ocampo, kibaki na raila waliplan waipige vipi kuwatoa kafara akina uhuru ili kibaki na raila wapone. Sasa ocampo hayuko ofisini, kibaki hayuko ofisini na raila hayuko ofisini. Na walijua raila atakuwa rais ili amalize mchezo sasa dili limebuma.
 
Kiongozi wa mashitaka katika mahakama ya kimataifa ya ICC, Fatou Bensouda, ameiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa muda usiojulikana.

Hii ni baada ya malalamiko kutoka kwake kuwa Kenya imekataa kushirikiana na mahakama hiyo katika kuikabidhi ushahidi unaohitajika kuendesha kesi kwa hiyo ina maana kuwa hana ushahidi wa kutosha dhidi ya Kenyatta.

Serikali ya Kenya ilitakiwa kuikabidhi mahakama taarifa za kifedha za Rais Kenyatta pamoja na maelezo kuhusu mali yote anayomiliki.

Katika uamuzi uliotolewa na mahakama hiyo Fatou Bensouda amesema kuwa hana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka Rais Kenyatta ambaye anadaiwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007.

Zaidi ya watu 1,000 walifariki katika ghasia hizo. Bensouda amenukuliwa akisema kuwa halitakuwa jambo la busara kufutulia mbali kesi hiyo hasa ikizingatiwa kuwa Kenya haitaki kutoa ushahidi unaohitajika na mahakama hiyo.

Badala yake aliomba mahakama kuiahirisha kesi hiyo hadi pale Kenya itakapokubali kutoa ushahidi unaohitajika.

Kesi dhidi ya Kenyatta ilipaswa kuanza mapema mwezi Oktoba.

BBC

wamwache rais wa watu afanye kazi yake kwa wananchi na serikali ya jubilei:Binafsi namkubali sana kenyatta, hata kwenye uchaguzi alikuwa anahoja zenye mashiko nyingi sana tu. anafanya vizuri kuwaadabisha alshabaabu. ni wakati wa US kuacha kumfuatilia huyu jamaa akiwemo alsadry ili kukomesha ugaidi.
 
Hii kesi sidhani kama itakuwepo, itaendelea kupigwa calendar na mwisho itapotezewa na Uhuru kuendelea kupeta ndani ya Kenya.
 
Kiongozi wa mashitaka katika mahakama ya kimataifa ya ICC, Fatou Bensouda, ameiomba mahakama hiyo kuahirisha kesi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa muda usiojulikana.

Hii ni baada ya malalamiko kutoka kwake kuwa Kenya imekataa kushirikiana na mahakama hiyo katika kuikabidhi ushahidi unaohitajika kuendesha kesi kwa hiyo ina maana kuwa hana ushahidi wa kutosha dhidi ya Kenyatta.

Serikali ya Kenya ilitakiwa kuikabidhi mahakama taarifa za kifedha za Rais Kenyatta pamoja na maelezo kuhusu mali yote anayomiliki.

Katika uamuzi uliotolewa na mahakama hiyo Fatou Bensouda amesema kuwa hana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashitaka Rais Kenyatta ambaye anadaiwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007.

Zaidi ya watu 1,000 walifariki katika ghasia hizo. Bensouda amenukuliwa akisema kuwa halitakuwa jambo la busara kufutulia mbali kesi hiyo hasa ikizingatiwa kuwa Kenya haitaki kutoa ushahidi unaohitajika na mahakama hiyo.

Badala yake aliomba mahakama kuiahirisha kesi hiyo hadi pale Kenya itakapokubali kutoa ushahidi unaohitajika.

Kesi dhidi ya Kenyatta ilipaswa kuanza mapema mwezi Oktoba.

BBC

Yaani huyu mama anarukaruka tu wala hajui hii case akina ocampo, kibaki na raila waliplan waipige vipi kuwatoa kafara akina uhuru ili kibaki na raila wapone. Sasa ocampo hayuko ofisini, kibaki hayuko ofisini na raila hayuko ofisini. Na walijua raila atakuwa rais ili amalize mchezo sasa dili limebuma.

kwa hiyo hao watu zaidi ya 1000 waliokufa Ocampo, raila na kibaki ndiyo waliwaua?
 
Kama waki-prove amehusika wamkamate tu, hakuna kuoneana aibu.
 
Toka mwanzo kulikuwa hakuna kesi ..ocampo mpuuzi sana
 
Yap huo ni mchongo ambao sasa ushabuma, yaan dili limekuwa dirisha, walimtegemea sana raila kwenye hii dili wakitegemea atashinda urais lakin ikawa sivyo na bahati mbaya zaid wacheza dili wote hawako kwenye power na wachezewa dili ndo wako kwenye power
 
Back
Top Bottom