Jinai haifiKalamu, Carlos The Jackal, CHIEF PRIEST , Yoso, Mshana Jr , Erythrocyte
Huyu Karim Khan bora apumzishwe tu maana yale mashtaka ya 29/10 kutoka kwa Maria Sarungi na Mange Kimambi na Larry Madowo alikuwa hajayafungua. Yeye alijikita na uasherati tu
hakikaJinai haifi
MichezoHivi hizi tuhuma ni za kweli au ni politics tu kwa sababu aliwawashia moto viongozi wa Israel? Maana timing yake imekaa kim mchongo sana!
Za kisiasa tu, kwanza hiyo "ngono" anayoshtakiwa nayo sio kumuingilia mwanamke bali "alimshika shika" bila ridhaa yake.Hivi hizi tuhuma ni za kweli au ni politics tu kwa sababu aliwawashia moto viongozi wa Israel? Maana timing yake imekaa kim mchongo sana!
Huo uasherati alifanya lini? Si alichunguzwa na jopo la majaji na wakamkuta hana hatia?Kalamu, Carlos The Jackal, CHIEF PRIEST , Yoso, Mshana Jr , Erythrocyte
Huyu Karim Khan bora apumzishwe tu maana yale mashtaka ya 29/10 kutoka kwa Maria Sarungi na Mange Kimambi na Larry Madowo alikuwa hajayafungua. Yeye alijikita na uasherati tu
muendesha mashtaka huyo Karim Khan na waendesha mashtaka wengine wanapenda ngono mno dhidi ya watumishi wa mahakama hiyo ya kangaroo huko the uholanzi 🐒Nchi 125 Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York kupiga kura ya siri ya kuamua hatma ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Karim Khan ambaye anakabiliwa na tuhuma za utovu wa maadili ya kingono zinazotolewa na aliyekuwa msaidizi wake.
Khan ambaye amekana tuhuma hizo, alisimamishwa kazi mwezi Juni mwaka huu baada ya Kamati ya Usimamizi ya ICC kubaini kuwa alikiuka kwa kiwango kikubwa maadili ya kazi na alijaribu kumzuia mlalamikaji kuendelea na malalamiko yake.
Pia, amesimamishwa kwa muda kufanya kazi ya uwakili Nchini Uingereza wakati taratibu nyingine za kisheria zikiendelea.
Kwa mujibu wa taratibu za ICC, kura hiyo inafanyika kwa siri na itahitaji angalau kura 63 kati ya nchi 125 Wanachama ili Khan aondolewe rasmi madarakani.
Khan hahudhurii kikao hicho baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kufuatia vikwazo alivyowekewa vinavyohusishwa na uchunguzi wa ICC dhidi ya Viongozi wa Israel kuhusu vita vya Gaza na iwapo atang’olewa madarakani, ICC itaanza mchakato wa kumpata Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya, huku kwa sasa ofisi hiyo ikiendelea kuendeshwa na Manaibu wake wawili.
Kama hana hatia mbona wanampigia kura sasa?Huo uasherati alifanya lini? Si alichunguzwa na jopo la majaji na wakamkuta hana hatia?
Anaondolewa kwa sababu za kisiasa ila hatia ya jinai inaamuliwa na majaji wa mahakama ambao walisema hakuna ushahidi kuwa alibaka.Kama hana hatia mbona wanampigia kura sasa?
Na nyinyi ndiyo mnaipigia chapuo kuja Tanzania kuwakamata akina Mafwele??Anaondolewa kwa sababu za kisiasa ila hatia ya jinai inaamuliwa na majaji wa mahakama ambao walisema hakuna ushahidi kuwa alibaka.
Marekani na Israel ndio haimtaki maana hairuhusu kumfungulia kesi Myahudi au mmarekani yoyote huko ICC.
Illegitimate Court Counteraction Act (2023) Mandates property-blocking and visa-revocation sanctions on any foreign person who investigates, arrests, detains, or prosecutes U.S. citizens or allied nationals (such as Israel) who are not parties to the Rome Statute.
Hata sijui mnataka muambiweje ndio mfahamu. ICC muhimu kuliko zote tunayo hapahapa Tanzania, na inaendelea na kazi yake. Hakuna wa kuichelewesha wala kuiharakisha.Kalamu, Carlos The Jackal, CHIEF PRIEST , Yoso, Mshana Jr , Erythrocyte
Huyu Karim Khan bora apumzishwe tu maana yale mashtaka ya 29/10 kutoka kwa Maria Sarungi na Mange Kimambi na Larry Madowo alikuwa hajayafungua. Yeye alijikita na uasherati tu
Na hii siyo mara ya kwanza, mtangulizi wake Fatou na yeye walimfanyia mizengwe kama hiyo. Hii 'unipolar world' waliyokuwa wanaitafuta kwa nguvu, inaelekea kuwa ngumu kwao.Anaondolewa kwa sababu za kisiasa ila hatia ya jinai inaamuliwa na majaji wa mahakama ambao walisema hakuna ushahidi kuwa alibaka.
Marekani na Israel ndio haimtaki maana hairuhusu kumfungulia kesi Myahudi au mmarekani yoyote huko ICC.
Illegitimate Court Counteraction Act (2023) Mandates property-blocking and visa-revocation sanctions on any foreign person who investigates, arrests, detains, or prosecutes U.S. citizens or allied nationals (such as Israel) who are not parties to the Rome Statute.
Watu uelewa wenu kwa nini unakuwa mdogo sana?Za kisiasa tu, kwanza hiyo "ngono" anayoshtakiwa nayo sio kumuingilia mwanamke bali "alimshika shika" bila ridhaa yake.
Huyu lazima aondolewe maana ameshaundiwa hadi sheria rasmi ya kumuwekea vikwazo kwa kuchunguza viongozi wa israel. Hii mahakama waliundiwa viongozi wa nchi maskini tu yeye hakulijua hilo
Ikiwemo marekani, Trump alikutwa na hatia kwa makosa 34 ya kingono lakini hakuhukumiwa. Pia ana tuhuma za ushiriki wa kubaka watoto kwenye Epstein files ila mahakama zote kimya mpaka leo.Katika nyingi ya nchi hizo kuna viongozi ambao wako juu ya sheria na hawawezi kufanywa chochote wanapofanya uhalifu wowote katika nchi zao kwa muktadha huo
Sio kweli, hata Israel ni yale yale tu Netanyahu ana kesi ya ufisadi ila kila siku anakwepa mahakama kwa kisingizio cha vita lakini cha ajabu Trump alimshinikiza Rais wa Israel amsamehe Netanyahu kinyume kabisa na matakwa ya utawala wa kisheria. Alafu unasema matatizo ya mahakama ni Afrika tu?Ndipo ikaonekana kwamba njia pekee ya kupambana na hali hiyo ni kuunda mahakama ya ICC.
Wewe ndio una uelewa mdogo, nimekuwekea sheria hapo inasema wazi kabisa ICC hairuhusiwi kumshtaki myahudi au mmarekani hata kama kuna ushahidi wa kufanya uhalifu wa kivita. Maana yake mahakama wamewekewa nchi maskini tu sielewi unachobisha hapa ni nini.Watu uelewa wenu kwa nini unakuwa mdogo sana
Netanyahu na Putin tayari wana hati ya kukamatwa na ICC bado huoni kwamba kusema ni mahakama kwa ajili ya nchi zinazoendelea ni porojo tu.Ikiwemo marekani, Trump alikutwa na hatia kwa makosa 34 ya kingono lakini hakuhukumiwa. Pia ana tuhuma za ushiriki wa kubaka watoto kwenye Epstein files ila mahakama zote kimya mpaka leo.
Sio kweli, hata Israel ni yale yale tu Netanyahu ana kesi ya ufisadi ila kila siku anakwepa mahakama kwa kisingizio cha vita lakini cha ajabu Trump alimshinikiza Rais wa Israel amsamehe Netanyahu kinyume kabisa na matakwa ya utawala wa kisheria. Alafu unasema matatizo ya mahakama ni Afrika tu?
Wewe ndio una uelewa mdogo, nimekuwekea sheria hapo inasema wazi kabisa ICC hairuhusiwi kumshtaki myahudi au mmarekani hata kama kuna ushahidi wa kufanya uhalifu wa kivita. Maana yake mahakama wamewekewa nchi maskini tu sielewi unachobisha hapa ni nini.