A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Jul 24, 2026 #21 Stuxnet said: Kalamu, Carlos The Jackal, CHIEF PRIEST , Yoso, Mshana Jr , Erythrocyte Huyu Karim Khan bora apumzishwe tu maana yale mashtaka ya 29/10 kutoka kwa Maria Sarungi na Mange Kimambi na Larry Madowo alikuwa hajayafungua. Yeye alijikita na uasherati tu Click to expand... ICC ni Taasisi. Mashtaka siyo suala binafsi. Hata kama Khan akiondoka muuaji atapigwa pini tu
Stuxnet said: Kalamu, Carlos The Jackal, CHIEF PRIEST , Yoso, Mshana Jr , Erythrocyte Huyu Karim Khan bora apumzishwe tu maana yale mashtaka ya 29/10 kutoka kwa Maria Sarungi na Mange Kimambi na Larry Madowo alikuwa hajayafungua. Yeye alijikita na uasherati tu Click to expand... ICC ni Taasisi. Mashtaka siyo suala binafsi. Hata kama Khan akiondoka muuaji atapigwa pini tu
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Jul 24, 2026 #22 Imeloa said: Netanyahu na Putin tayari wana hati ya kukamatwa na ICC bado huoni kwamba kusema ni mahakama kwa ajili ya nchi zinazoendelea ni porojo tu. Click to expand... Na ndio kilichomcost Khan.
Imeloa said: Netanyahu na Putin tayari wana hati ya kukamatwa na ICC bado huoni kwamba kusema ni mahakama kwa ajili ya nchi zinazoendelea ni porojo tu. Click to expand... Na ndio kilichomcost Khan.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 25, 2026 #23 Ajali kazini... Cc: Mahondaw