ICC yapokea ushahidi mpya dhidi ya William Ruto, Yajipanga kumfungulia mashtaka upya.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
-Ripoti mpya iliyoachiwa hivi majuzi imeeleza kuwa ICC iliendelea kukusanya ushahidi dhidi ya William Ruto japo kesi ilikuwa imefungwa tangu 2016.

- The annual report was submitted to UN General Assembly by ICC President Chile Eboe-Osuji - Eboe-Osuji was one of the judges who heard William Ruto and Joshua arap Sang’s case

-Katika ripoti hiyo iliyowasilishwa na ICC katika UN General Assembly na Rais wa ICC ambaye pia alikuwa mmoja wa majaji waliosikiliza kesi ya Rutto amesema kuna ushahidi mpya kabisa ambao unamtia hatiani Rutto katika kesi yake ya uhalifu wa kibinadamu kati ya mwaka 2007 na 2008.

- The judges cited lack of evidence as reason for terminating the case but declined to grant acquittal It has emerged the prosecutor at the International Criminal Court (ICC) has been

Kesi hiyo ilifungwa mwaka 2016 baada ya kukosekana ushahidi, lakini kupatikana kwa ushahidi huo kunaifanya mahakama hiyo kutengua maamuzi yake ya awali.

Ushahidi huo unapitiwa kwa kina na ICC wanafikira kuifungua kwa upya tena.

Fatou Bensouda, the chief prosecutor at the Hague-based court, has reportedly received new information relating to the high-profile case and may consider re-opening it.

The chief prosecutor at the ICC based in Hague, has reportedly been receiving information relating to the 2007-2008 post-election violence case even after it was terminated.

TUKO.co.ke understands the new development was captured in the 2018 annual report on ICC activities submitted to the United Nations (UN) General Assembly by ICC president Chile Eboe-Osuji.

According to Eboe-Osuji, who was one of the judges who presided over Ruto's case, the office of the prosecutor at the ICC had never stopped collecting evidence in relation to the Kenyan case.

Details of the new evidence remain confidential as investigation into the PEV case continues despite the case having been terminated due to insufficient evidence.

The case against Ruto, who was charged alongside radio journalist Joshua arap Sang, was terminated in April 2016.

This came after a related case filed against President Uhuru Kenyatta was also terminated in March 2015 on similar grounds.

The court, however, declined to grant the accused persons acquittal after the prosecutor alleged there was lack of support from the Kenyan government and numerous incidents of witness interferences.

Bensouda convinced the court that the witnesses were intimidated, threatened and forced to withdraw from the case.
A warrant of arrest was consequently issued against Paul Gicheru, Walter Barasa and Philip Kipkoech, some of the individuals believed to had been involved in witness interference, which is considered a criminal offence under the Rome Statutes.

A total of six individuals were indicted by ICC in relation to the 2007-2007 PEV that left 1,133 people dead and more than 650,000 others displaced.
Besides journalist Sang, Ruto and Uhuru, the other suspects were former Head of Public Service Francis Muthaura, former Police Commissioner Mohammed Hussein Ali and former Industrialisation Minister Henry Kosgey.

READ ALSO: Raila faults Uhuru's move to lead mass African exit from ICC The ICC case was a major political agenda in the months leading to the the 2013 General Election that saw Uhuru and Ruto dramatically ascend to power.

The Hague-based court came under harsh criticism from a section of African countries, led by Kenya, who accused it of targeting Africans and threatened to pull out the court.

Burundi made good its threat and became the first African country to exit ICC. The court continues to face criticism with regard to its activities with the latest being from the the United States of America.

The US reacted angrily when ICC attempted to bring crimes against humanity charges against American soldiers in Afghanistan.

Source: ICC confirms receiving fresh evidence against William Ruto
 
Oooh hooh, yashakua hivyo tena, kazi ipo...
 
Kikuyu hataki Kalenjini achukue. Mtake msitake 2022 Ruto ni raisi. Uhuru anamuogopa Ruto. Ruto ni Mafia
 
Waste of time.
When US national security adviser John Bolton last month called ICC illegitimate and threatened to cut financing if any US national is tried there, hapo ndio nilijua ni ujinga mtupu.
 
Waste of time.
When US national security adviser John Bolton last month called ICC illegitimate and threatened to cut financing if any US national is tried there, hapo ndio nilijua ni ujinga mtupu.
Tuambieni basi, ninyi kama nchi Uhuru, watu wangapi waliohusika na PEV mumewakamata na kuwapeleka mahakamani?. Nchi gani hiyo ambayo watu wanaweza kuuwawa na hakuna MTU anayewajibishwa?. Hamuwezi kumwaga damu nyingi kiasi kile bila watu kuwajibishwa na nchi unaendelea kuwa salama, damu za watu masikini lazima zitawatafuna, that's why Kenya ranked as failed state.
 

Options zilikuwa mbili.
1. Local tribunal.
2. Hague.

Kenyan MPs chose Hague/ICC.
Uhuru and Ruto and the other suspects argued their way, and the rest is history.

You can't try someone twice for the same crime.
 
Kikuyu hataki Kalenjini achukue. Mtake msitake 2022 Ruto ni raisi. Uhuru anamuogopa Ruto. Ruto ni Mafia
Hizi ni hadithi zenu za Vijiweni tu and anything can happen between now and then ila Ruto will be president in 2022.
 
Options zilikuwa mbili.
1. Local tribunal.
2. Hague.

Kenyan MPs chose Hague/ICC.
Uhuru and Ruto and the other suspects argued their way, and the rest is history.

You can't try someone twice for the same crime.
Aisee, wewe unadhani hii dunia ni kama zamani watu hawajui yanayotokea?.

Mlisema MAHAKAMA zenu hazitoweza kutenda haki kwa watu wakubwa kwahiyo wapelekwe The Hague, yalipotajwa majina ya untouchables, nchi mzima mliungana kuwatetea hata kabla kesi haijaanza, mkaanza kuwauwa na kuwatishia mashahidi.

Pili mliambiwa wale waliotekeleza mauaji muwakamate na kuwapeleka mahakamani, nani hadi Leo aliyekamatwa?, Rutto na Uhuru wanashutumiwa kwa kufadhili na kupanga vurugu, lakini makundi ya vijana na vyombo vya usalama vilitekeleza mauaji, mbona hakuna hata mmoja aliyekamatwa?.
 

Unamaanisha nini unaposema nchi nzima tukaungana kuwatetea?
Wacha zako wewe.

Lakini saa zingine msamaha ni a way to go. Huko Rwanda walienda njia ya msamaha pia.
 
Waste of time.
When US national security adviser John Bolton last month called ICC illegitimate and threatened to cut financing if any US national is tried there, hapo ndio nilijua ni ujinga mtupu.
Kumbe! ngoja ni google
 
Unamaanisha nini unaposema nchi nzima tukaungana kuwatetea?
Wacha zako wewe.

Lakini saa zingine msamaha ni a way to go. Huko Rwanda walienda njia ya msamaha pia.
Rwanda waliwakamata na kuwapitisha mbele za mahakama za jadi, wote walihukumiwa baada ya kukiri na kuomba msamaha mbele ya waliowakosea, wengi wamehukumiwa kuhudumia famili walizozijeruhi, ikiwemo kuzijengea NYUMBA na kulima mashamba yao kila mwaka. Ninyi hamjafanya lolote lile japo waliopata athari wapunguze hasira, sasa hivi wanahisi serikali imeshughulika kuwalinda Rutto na Uhuru zaidi kuliko kuwatafutia wao justice.
 

Kenya tulitengeneza Truth, Justice and reconcilliation commission. TJRC.
Kazi yake kutafuta chanzo (historical injustices), na kurecommend solutions.
Sijakuwa nikifuatilia kwa hivyo sijui maamuzi gani yalitokana na hii commission.

Lakini jikumbushe quote moja ya Kagame.

“…a huge puzzle after the genocide was, how do you pursue justice when the crime is so great? You can’t lose one million people in one hundred days without an equal number of perpetrators. But we also can’t imprison an entire nation. So, forgiveness was the our only path forward. "
 
Ten years on now, nothing on the group, victims are still living in "temporary camps" waiting to go home.
 
Nilishauri Raisi Magufuli aiondoe TZ yetu ICC, wakanikebehi ipo siku mtanielewa, hiyo inatumiwa na Muzungu and his house negroes, kutawala Waafrika, ukiwa tishio kwao unafunguliwa kesi!
 
Habari za kitambo.
Na wengi wa hawa 'IDPs' ambao walikuwa wanajitokeza baadaye walikuwa impostors. Wanataka kulipwa bure.

But still, sijaona temporary camps popote.
Lete ushahidi kwamba walikua impostors please, 2016 ni kitambo wakati hao watu waliishi Uganda as refugees toka 2008.
Naomba ushahidi kwamba walikua impostors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…