ICC yapokea ushahidi mpya dhidi ya William Ruto, Yajipanga kumfungulia mashtaka upya.

Tuambieni basi, ninyi kama nchi Uhuru, watu wangapi waliohusika na PEV mumewakamata na kuwapeleka mahakamani?. Nchi gani hiyo ambayo watu wanaweza kuuwawa na hakuna MTU anayewajibishwa?. Hamuwezi kumwaga damu nyingi kiasi kile bila watu kuwajibishwa na nchi unaendelea kuwa salama, damu za watu masikini lazima zitawatafuna, that's why Kenya ranked as failed state.
Tundu lissu vp....
 
Tundu lissu vp....
Tundulisu yupo hai alijeruhiwa, acha kukimbia mada, tuelezeni ni hatua gani mlizochukua kuhakikisha waliohusika wamepelekwa mbele ya sheria?, au kama kawaida masikini hana thamani in capitalism?
 
Ile siku mkimpata aliyempiga risasi lissu..ndio tutajua tanzania ukanda huu..ni nchi huru...
Mkiwakamata waliomteka moh...vile vile tutajua ni nchi huru na pahali salama pa kuishi
 
Kwa hiyo unalinganisha uhai wa wakenya 1500 na kutekwa kwa MO na kujeruhiwa kwa Lisu?. Ama kweli maisha ya wakenya hayana thamani.
 
Back
Top Bottom