kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Lete ushahidi kwamba walikua impostors please, 2016 ni kitambo wakati hao watu waliishi Uganda as refugees toka 2008.
Naomba ushahidi kwamba walikua impostors.
Tundu lissu vp....Tuambieni basi, ninyi kama nchi Uhuru, watu wangapi waliohusika na PEV mumewakamata na kuwapeleka mahakamani?. Nchi gani hiyo ambayo watu wanaweza kuuwawa na hakuna MTU anayewajibishwa?. Hamuwezi kumwaga damu nyingi kiasi kile bila watu kuwajibishwa na nchi unaendelea kuwa salama, damu za watu masikini lazima zitawatafuna, that's why Kenya ranked as failed state.
Ziko wapi hzo temporary campsTen years on now, nothing on the group, victims are still living in "temporary camps" waiting to go home.
Tundulisu yupo hai alijeruhiwa, acha kukimbia mada, tuelezeni ni hatua gani mlizochukua kuhakikisha waliohusika wamepelekwa mbele ya sheria?, au kama kawaida masikini hana thamani in capitalism?Tundu lissu vp....
Ile siku mkimpata aliyempiga risasi lissu..ndio tutajua tanzania ukanda huu..ni nchi huru...Tundulisu yupo hai alijeruhiwa, acha kukimbia mada, tuelezeni ni hatua gani mlizochukua kuhakikisha waliohusika wamepelekwa mbele ya sheria?, au kama kawaida masikini hana thamani in capitalism?
Kwa hiyo unalinganisha uhai wa wakenya 1500 na kutekwa kwa MO na kujeruhiwa kwa Lisu?. Ama kweli maisha ya wakenya hayana thamani.Ile siku mkimpata aliyempiga risasi lissu..ndio tutajua tanzania ukanda huu..ni nchi huru...
Mkiwakamata waliomteka moh...vile vile tutajua ni nchi huru na pahali salama pa kuishi