ICC yatupilia mbali Kesi Ya Uhuru Kenyatta!!

ICC yatupilia mbali Kesi Ya Uhuru Kenyatta!!

Hahahahahah,that was obvisious,wamekosa eveidence so na ya RUTO should also be the same thing,now wakenya wajipange kujenga nchi yao kwani al shabab wanawasumbua sana,pili ni ushindi kwa serikali ya jubilee kwani Uhuru now will concetrate kwenye kuijenga kenya
 
Hongera sana kenyatta tumikia wananch wako

Ni ujinga kumpongeza KENYATA kushinda hiyo kesi wakat mashahidi wote wakitishwa na kufichwa ili asikutwe na hatia alafu leo mtanzania eti unamsifia KENYATA kwa lip hasaa…!!! Watanzania musiwe wajinga kiasi hicho………………!!!
 
duniani hakuna haki... but we we should always understand that rules were made to protect the riches... rip the victims, kuna wajinga wanasema eti wazungu wanawaonea viongozi wa kiafrika... seriously? kweli kabisa? hawa wabinafisi na matamaa fisi wasipodhibitiwa wanaweza uza wananchi wao kwa bei ya soda..... imagine mtu anaweza nunua supreme court, ag office, ministers, secretaries on the way to statehouse..itakuwa madaraka? african leader look at you?
hata hivyo sa ivi kila mtu afe na lwake, waafrica wenyewe hawajali chochote... why should any body care?
let them die of hunger, disease, poverty, illiteracy, all those, till they know their common enemy, for the time being, cheers....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. and i don't give a f*#8*ing damn about them, ccm wanagawa chakula sasa uchaguzi umekaribia..to hell.
chenge pesa.jpg

I knew it was over when he "won" the election!

hata mimi tangu mwanzo nilijua kuwa Kenyatta akishinda na kuwa Rais haki haitaweza kutendeka kwa sababu nani atakubali kwenda kutoa ushahidi huku wakitishwa na serikali, nani atalinda usalama wao?
 
Ni ujinga kumpongeza KENYATA kushinda hiyo kesi wakat mashahidi wote wakitishwa na kufichwa ili asikutwe na hatia alafu leo mtanzania eti unamsifia KENYATA kwa lip hasaa…!!! Watanzania musiwe wajinga kiasi hicho………………!!!

Mjinga ni wewe ambaye unabwabwaja kupinga hadi uamuzi wa mahakama, au wewe unafikiri mtu akishtakiwa lazima afungwe?! Mahakama imeona hamna kesi ya kujibu afu wewe tu umeshiba makande unavimbisha tumbo kupinga, hivi kati ya wewe na icc na yupi anaaminika?
 
duniani hakuna haki... but we we should always understand that rules were made to protect the riches... rip the victims, kuna wajinga wanasema eti wazungu wanawaonea viongozi wa kiafrika... seriously? kweli kabisa? hawa wabinafisi na matamaa fisi wasipodhibitiwa wanaweza uza wananchi wao kwa bei ya soda..... imagine mtu anaweza nunua supreme court, ag office, ministers, secretaries on the way to statehouse..itakuwa madaraka? african leader look at you?
hata hivyo sa ivi kila mtu afe na lwake, waafrica wenyewe hawajali chochote... why should any body care?
let them die of hunger, disease, poverty, illiteracy, all those, till they know their common enemy, for the time being, cheers....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. and i don't give a f*#8*ing damn about them, ccm wanagawa chakula sasa uchaguzi umekaribia..to hell.
View attachment 208244

Eti dunia hakuna haki?!! Suala limeamuliwa mahakani lakini bado unalalama!! Labda we ulitakaje ndo iwe haki?!
 
hata mimi tangu mwanzo nilijua kuwa Kenyatta akishinda na kuwa Rais haki haitaweza kutendeka kwa sababu nani atakubali kwenda kutoa ushahidi huku wakitishwa na serikali, nani atalinda usalama wao?

Halafu ana ubavu wa kutoa ushahidi dhidi ya rais wa nchi yake?

Tumeona jinsi mashahidi walivyokuwa wanajitoa.

Hata kesi ya Ruto kilichobaki ni muda tu na yenyewe itafutiliwa mbali.
 
Eti dunia hakuna haki?!! Suala limeamuliwa mahakani lakini bado unalalama!! Labda we ulitakaje ndo iwe haki?!

mahakamani ndo kuna haki? just go on figure, keep with what u being taught in school, these were meant for big brains.
 
Kitendo cha AU kuidindishia hii mahakama juu ya hii issue ya Kenyatta pia imechangia huu uamuzi wa mahakama kufikiwa.

Corruption all over the world. I expect it. Lakini ipo siku haki itaamka ilikolala.
 
Waathirika wameshakosa haki zao ..end of story.
 
This was a foregone conclusion.

There was too much witness tampering.

Who in their mind would testify against a sitting African head of state?

The case was a non-starter the moment Kenyatta "won" the election.

nakubaliana na wewe asilimia Mia..utajiri wa familia ya Kenyatta ulichangia Ku temper na witnesses ..
mwafriga gani angesubutu Ku witness against sitting tycoon president?
wa kuwaonea huruma ni wahanga wa Yale machafuko.haki yap ndio umepotea hivyo..
pia Nina wasi wasi, naibu rais Ruto nae watam clear ? najenga hoja kwamba wakimtia hatiani rutto, then itaonekana Uhuru amejinasua na kumuacha mwana wa kalenjin haki suffer hegue..
panaweza pakatokea political exodus of the kalenjin community from Jubilee.
kumbuka juzi ruto alifokeza kwamba odinga hajam set up hegue..akasema mbaya wake anamfahamu..let's wait and see..kwa Jiran kwafukuta kisiasa
 
safi sana .. hizi mahakama zimewekwa kuwakandamiza waafrika tu. Hope raisi Kenyatta sasa atapata muda mwingi kuwatumikia wakenya.
Mkuu,
Lakini vile vile hii mahakama imesaidia sana kuwapiga stop baadhi ya watawala kutawala kwa mkono wa chuma with impunity
 
Back
Top Bottom