I saw this coming.
Yap there you are. I sawa it too. When Kenyatta attended the court session, I knew the case is almost over.
Tiba
Hongera sana kenyatta tumikia wananch wako
Just in...ngoja nifuatilie.
Sikutegemea kuwa itaisha mapema hivyo
I knew it was over when he "won" the election!
Ni ujinga kumpongeza KENYATA kushinda hiyo kesi wakat mashahidi wote wakitishwa na kufichwa ili asikutwe na hatia alafu leo mtanzania eti unamsifia KENYATA kwa lip hasaa !!! Watanzania musiwe wajinga kiasi hicho !!!
duniani hakuna haki... but we we should always understand that rules were made to protect the riches... rip the victims, kuna wajinga wanasema eti wazungu wanawaonea viongozi wa kiafrika... seriously? kweli kabisa? hawa wabinafisi na matamaa fisi wasipodhibitiwa wanaweza uza wananchi wao kwa bei ya soda..... imagine mtu anaweza nunua supreme court, ag office, ministers, secretaries on the way to statehouse..itakuwa madaraka? african leader look at you?
hata hivyo sa ivi kila mtu afe na lwake, waafrica wenyewe hawajali chochote... why should any body care?
let them die of hunger, disease, poverty, illiteracy, all those, till they know their common enemy, for the time being, cheers....watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. and i don't give a f*#8*ing damn about them, ccm wanagawa chakula sasa uchaguzi umekaribia..to hell.
View attachment 208244
hata mimi tangu mwanzo nilijua kuwa Kenyatta akishinda na kuwa Rais haki haitaweza kutendeka kwa sababu nani atakubali kwenda kutoa ushahidi huku wakitishwa na serikali, nani atalinda usalama wao?
Eti dunia hakuna haki?!! Suala limeamuliwa mahakani lakini bado unalalama!! Labda we ulitakaje ndo iwe haki?!
This was a foregone conclusion.
There was too much witness tampering.
Who in their mind would testify against a sitting African head of state?
The case was a non-starter the moment Kenyatta "won" the election.
Yep, we shouldn't act surprised!I saw this coming.
Mkuu,safi sana .. hizi mahakama zimewekwa kuwakandamiza waafrika tu. Hope raisi Kenyatta sasa atapata muda mwingi kuwatumikia wakenya.