Ice bucket challange

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa?

wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.
 
Ndio nini sasa!
 
Hata wachezaji wa ulaya wanafanya saa hii, nadhani yake maji ni ya baridi sana.
 
nimeona hata neyma,shakira,wiz khalifa,ludacris wakifanya but sijaelewa ili iweje
 
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa?

wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.

ni ishu inayohusiana na mwagiwa maji ya barafu mastaa wanafanya hiyvo kwa lengo charity jaribu kugoogle mkuu
 
Nashangaa ishu ndogo hivo ila week hii yote imekuwa story
 
Hawa jamaa inaonekana hawaogi maji ya baridi so wanaamua kupeana chamgamoto hiyo mi nimeona sana kwa wachezaji wa mpira
 
nimeona now hata George Bush kaogeshwa,na kasema anampa challenge Clinton,utaona tu punde clinton anaogeshwa
 
Inaitwa ALS ice bucket challenge, ni charity fund raising and awareness creation kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa cancer, kinachofanyika ni mtu anakuwa nominated na mwenzake akubali kujimwagia maji ya baridi/barafu au kulipa $100 kwenda kwenye hiyo taasisi. Endapo ukijimwagia utachangia $10 . mwaka ulioisha kwa kipindi cha July - august walikusanya zaidi ya $1.8 million na mwaka huu tayari wamekusanya zaidi ya $18 milion . fedha hizi zitatumika kuwezesha tafiti mbali mbali juu ya hiyo cancer pamoja na kusaidia wagonjwa
 
wasaniii wengi wamejimwagia maji,wanakwepa kulipa dola 100?
 
Hapana kuna raha yake maana ukijimwagia unatakiwa upost video na hash tag na pia ingekuwa siyo fun tena na challenge ingeisha kwa mda mfupi tuu, kiukweli wanachangia zaidi ya hiyo dola 10 au 100 mfano Obama alikataa kujimwagia maji akatoa pesa haiwezi kua dola 100 tuu
 
wenzentu wana njia nyingi za kufanya wakubalike,nimeshangaa bush kumwagiwa naye amemchallenge clinton,nimependa ubunifu huo aiseee
 
Aasa hivi na wabongo tutacopy maana unakuwa nominated na were unanominate wa3 au 4-5 nao hivyo hivyo usishangae chain inakuja kukufikia hadi wewe Viol
 
Last edited by a moderator:
Aasa hivi na wabongo tutacopy maana unakuwa nominated na were unanominate wa3 au 4-5 nao hivyo hivyo usishangae chain inakuja kukufikia hadi wewe Viol
kuna mshikaji wangu chuo,kashatupia video naye ana challange
 
Nimeiona ya Eden Hazard jamaa kapiga kelele ha abha.ha.ha.ha ha inaonekana yalikua yabaridi balaa
 
Dah hadi Triple h wa Wwe alijimwagia akasema anawapa challenge wana wwe kumbe ndo maana yake
hi kitu sidhani ni hela ila waliopewa challenge kufanya kweli,maana ludacris alimwagiwa akasema nampa challenge 50 cent,50 cent akajibu,dr dre sijui kapewa challenge na nani,ye kasema anampa eminem na kendrick lamar.
 
Nimeiona ya Eden Hazard jamaa kapiga kelele ha abha.ha.ha.ha ha inaonekana yalikua yabaridi balaa
sielewi why hii kitu wengi wanaheshimu kwa kuijibu
 
Nimeiona ya Emmanuel Adebayor imeniacha hoi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…