Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa?
wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.

wasaniii wengi wamejimwagia maji,wanakwepa kulipa dola 100?Inaitwa ALS ice bucket challenge, ni charity fund raising and awareness creation kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa cancer, kinachofanyika ni mtu anakuwa nominated na mwenzake akubali kujimwagia maji ya baridi/barafu au kulipa $100 kwenda kwenye hiyo taasisi. Endapo ukijimwagia utachangia $10 . mwaka ulioisha kwa kipindi cha July - august walikusanya zaidi ya $1.8 million na mwaka huu tayari wamekusanya zaidi ya $18 milion . fedha hizi zitatumika kuwezesha tafiti mbali mbali juu ya hiyo cancer pamoja na kusaidia wagonjwa
wasaniii wengi wamejimwagia maji,wanakwepa kulipa dola 100?
wenzentu wana njia nyingi za kufanya wakubalike,nimeshangaa bush kumwagiwa naye amemchallenge clinton,nimependa ubunifu huo aiseeeHapana kuna raha yake maana ukijimwagia unatakiwa upost video na hash tag na pia ingekuwa siyo fun tena na challenge ingeisha kwa mda mfupi tuu, kiukweli wanachangia zaidi ya hiyo dola 10 au 100 mfano Obama alikataa kujimwagia maji akatoa pesa haiwezi kua dola 100 tuu
wenzentu wana njia nyingi za kufanya wakubalike,nimeshangaa bush kumwagiwa naye amemchallenge clinton,nimependa ubunifu huo aiseee
wasaniii wengi wamejimwagia maji,wanakwepa kulipa dola 100?
hi kitu sidhani ni hela ila waliopewa challenge kufanya kweli,maana ludacris alimwagiwa akasema nampa challenge 50 cent,50 cent akajibu,dr dre sijui kapewa challenge na nani,ye kasema anampa eminem na kendrick lamar.Dah hadi Triple h wa Wwe alijimwagia akasema anawapa challenge wana wwe kumbe ndo maana yake