N Ngosha boy Member Joined Nov 22, 2019 Posts 5 Reaction score 0 Nov 30, 2019 #1 Habari wadau. Nipo Dar kwa sasa nilihitaji kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo: 1. Vifaa hasa vinavyotakiwa. 2. Gharama yake. 3. Changamoto. 4. Soko lake pia
Habari wadau. Nipo Dar kwa sasa nilihitaji kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo: 1. Vifaa hasa vinavyotakiwa. 2. Gharama yake. 3. Changamoto. 4. Soko lake pia
M Mkerewe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 345 Reaction score 347 Nov 30, 2019 #2 Huwez kuwa na business idea bila ya kujua soko lako...!
N Ngosha boy Member Joined Nov 22, 2019 Posts 5 Reaction score 0 Dec 1, 2019 Thread starter #3 Sio kwamba silijui la hasha..nataka kupanua uelewa kwa kupata ideas tofaut