Ice lolly business

Ice lolly business

Ngosha boy

Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Habari wadau.

Nipo Dar kwa sasa nilihitaji kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo:
1. Vifaa hasa vinavyotakiwa.
2. Gharama yake.
3. Changamoto.
4. Soko lake pia
 
Sio kwamba silijui la hasha..nataka kupanua uelewa kwa kupata ideas tofaut
 
Back
Top Bottom