Wakristo kila sehem wao wanauliwaWageni wanaua wakristo U.S
ICE ipo kulinda wakristo,Western Christian system na ku fight against communists.
Tuwaunge mkono ICE mtumishi wanakomesha jihadists na communists
ICE kule Marekani ni kifupi cha U.S. Immigration and Customs Enforcement — yaani Idara ya Utekelezaji wa Sheria za Uhamiaji na Forodha ya Marekani.bado sijaelewa hivi hawa ice ambao wako kwenye news kila mahali tatizo liko wapi? kwa nini stress hizi zoote na maandamano ya kuwapinga, je, wanaonea watu au tatizo ni nini? nilifikiri labda wanafanya control ya watu ambao wako nchini USA illegally au kwa maneno mengine hawakupswa kuwepo USA, sasa tatizo liko wapi hapo kama kwa mfano wewe ni mgeni na una kila kitu i.e vibali vya kuwepo huko USA kwa nini iwe tabu kuwaonyesha tu vibali vyako na kuendelea na maisha yako au bado watakuonea hata kama una kila kitu? iweje mpaka watu wanauliwa kwa risasi au kuumizwa, je ni vibali tu vya kuishi huko au kuna mengine labda?
i am confused ...
ICE wengi ni wapya na proMAGA na tatizo lao kubwa wanalolamikiwa ni kwamba wanafanya kazi za kwa mfumo kama wa policeCCM. Wakiwa wanafanya operations mahali wakikuhisi tu wewe sio raia kwa sababu sio mzungu mweupe mfano ni black, asian, Mwarabu au latina watataka uwape kitambulisho(racial profiling) sasa unaweza kuwa ni raia kabisa wa Marekani tena uliyezaliwa hapo ila wakati huo hauna kitambulisho, unaweza kuwa ni mhamiaji ambaye uko kwenye mchakato wa kupata nyaraka za ukimbizi, green card, uraia au kuongeza muda wa visa hapo ndipo mtiti utakapokuja sasa mpaka wakuelewe wasikutie jela au hata kukufanyia deportation.
Kuna raia wengi tu Wamarekani ambao sio wenye asili ya Wazungu wamejikuta wanashikiliwa mahabusu au wamefanyiwa deportation na ICE ya Trump. Sasa kwa sababu Wamarekani wengi hawajazoea na hawapendi uonevu kama huo ndipo unaona hizo vurugu zote raia wakiliamsha, sio kama bongo mtu atakuja achukuliwe tu kwenye bus, bar, kazini au nyumbani kwake bila utambulisho na maelezo ya kueleweka halafu wanaomzunguka wakae kimya wamejikunyata.
ICE wengi ni wapya na proMAGA na tatizo lao kubwa wanalolamikiwa ni kwamba wanafanya kazi za kwa mfumo kama wa policeCCM. Wakiwa wanafanya operations mahali wakikuhisi tu wewe sio raia kwa sababu sio mzungu mweupe mfano ni black, asian, Mwarabu au latina watataka uwape kitambulisho(racial profiling) sasa unaweza kuwa ni raia kabisa wa Marekani tena uliyezaliwa hapo ila wakati huo hauna kitambulisho, unaweza kuwa ni mhamiaji ambaye uko kwenye mchakato wa kupata nyaraka za ukimbizi, green card, uraia au kuongeza muda wa visa hapo ndipo mtiti utakapokuja sasa mpaka wakuelewe wasikutie jela au hata kukufanyia deportation.
Kuna raia wengi tu Wamarekani ambao sio wenye asili ya Wazungu wamejikuta wanashikiliwa mahabusu au wamefanyiwa deportation na ICE ya Trump. Sasa kwa sababu Wamarekani wengi hawajazoea na hawapendi uonevu kama huo ndipo unaona hizo vurugu zote raia wakiliamsha, sio kama bongo mtu atakuja achukuliwe tu kwenye bus, bar, kazini au nyumbani kwake bila utambulisho na maelezo ya kueleweka halafu wanaomzunguka wakae kimya wamejikunyata
ICE kule Marekani ni kifupi cha U.S. Immigration and Customs Enforcement — yaani Idara ya Utekelezaji wa Sheria za Uhamiaji na Forodha ya Marekani.
Kwa ufupi, ICE hufanya kazi hizi kuu:
ICE iko chini ya Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security – DHS).
- Kusimamia sheria za uhamiaji: Kuwabaini, kuwakamata, na kuwaondoa (kurejesha) wahamiaji wasio na vibali halali.
- Kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka: Kama usafirishaji haramu wa binadamu, dawa za kulevya, silaha, na bidhaa bandia.
- Kulinda usalama wa taifa: Kuchunguza makosa yanayohusiana na ugaidi, fedha haramu, na uhalifu wa kimataifa.
Kimsingi, ICE sio idara ya kutoa visa au uraia; kazi hizo ziko kwa USCIS. ICE inalenga zaidi utekelezaji wa sheria.
Yule ni kutoka chama cha democratsAisee niliona bi mother mmoja kapigwa shaba na hawa ICE inasikitisha sana.
Sasa hilo si bus lilikuwa limevuka boda! Pia Tanzania sio nchi ya Wahamiaji kama Marekani kwa hiyo ukimkuta Mwarabu, Muethihopia au Msomali anazurura huko Sirari unaweza kushituka. Marekani ni nchi ya Wahamiaji na katika majiji yao wamejaa raia wa kila aina wenye uraia, green cards, nyaraka za ukimbizi n.k kutoka kote duniani, hizo operations za ICE ambako unaona vurugu zinazuka zinafanyika mbali kabisa na mipaka ya Marekani zikilenga zaidi Blue states za Democrats kisiasa.hilo mbona hata tanzagiza wanafanya mara nyingi nimevuka boda kwa basi na polisi wakisimamisha basi kukagua wa kwanza ni msomali, ethiopia au yoyote ambaye siyo mweusi, nimeshasafiri na wasomali ambao walikaguliwa na uhamiaji wao tu peke yao ...
Sasa hilo si bus lilikuwa limevuka boda! Pia Tanzania sio nchi ya Wahamiaji kama Marekani kwa hiyo ukimkuta Msomali huko Sirari unaweza kushituka. Marekani ni nchi ya Wahamiaji na katika majiji yao wamejaa raia wa kila aina wenye uraia, green cards, nyaraka za ukimbizi n.k kutoka kote duniani, hizo operations za ICE ambako unaona vurugu zinazuka zinafanyika mbali kabisa na mipaka ya Marekani zikilenga zaidi Blue states za Democrats kisiasa.
Tatizo liko kwenye "weaponizasition of law/lawfare" kama vile uhamiaji na TRA bongo ambavyo hurukia wakosoaji wa serikali ya CCM kwa kigezo cha kufuata sheria tu lakini wakiwa na malengo mengine tofauti kabisa.asante kwa maelezo mazuri kwa hiyo wako kwa mujibu wa sheria za USA sasa tatizo liko wapi, kwa nini wanwazuiwa wasifanya kazi zao kwa maandamano na fujo za kila aina wakati wako kwa mujibu wa sheria na wanafwata sheria? ...
Kuna mamilioni ya raia wa Marekani hawana vitambulisho.lkn bado sielewi kuna shida gani kama ukiulizwa kitambulisho na mamlaka iliyoko kisheria na kuwaonyesha na kisha kuendelea na mambo yako? ...
Muuaji namba moja akiwa ni Samia.Wakristo kila sehem wao wanauliwa
Hawapewi due process.lkn bado sielewi kuna shida gani kama ukiulizwa kitambulisho na mamlaka iliyoko kisheria na kuwaonyesha na kisha kuendelea na mambo yako? ...
Ndiyo mkuu wapo chini ya sheria kadhaa mojawapo ni Homeland Security Act, 2002, Immigration and Nationality Act (INA) (Hii INA ndio sheria kuu ya uhamiaji ya Marekani) nakadhalika!asante kwa maelezo mazuri kwa hiyo wako kwa mujibu wa sheria za USA sasa tatizo liko wapi, kwa nini wanwazuiwa wasifanya kazi zao kwa maandamano na fujo za kila aina wakati wako kwa mujibu wa sheria na wanafwata sheria? ...