Hawapewi due process.
Kabla hujaondolewa lazima upewe nafasi ya kusikilizwa kesi yako mahakamani kwasababu kuna njia nyingi za kupata uraia, kila mtu ana kesi yake.
Hata haki ya kutumia mwanasheria hawapewi. Kwahiyo ni changamoto.
Marekani na Ulaya walishavuka hiko kiwango cha kufanya mambo kienyeji kama jiwe na Tanzagiza kwa mtu yoyote aliye ndani ya mipaka ya nchi yao, Trump ndio anataka kuwarudisha kwenye huu ujinga.duh, yaani mtu kavunja sheria ya nchi na kaingia kwenye nchi ya watu illegally halafu lazima apewe haki ya kusikilizwa? watu illegal ni wavamizi kwa kawaida wanapaswa kuzuiwa na kurudishwa mipakani na kama wakigoma wanaweza hata kuwa shot na walinzi wa mipaka na hakuna kesi kwa maana ni wavamizi, kwa nielewavyo mimi kwa nchi nyingi duniani, mvamiaji hana haki zaidi ya kukamtwa na kurudishwa alikotoka, hata tanzagiza ni hivyo ...
Swali lililoulizwa lingekuwa mtihani ungeambulia zero na kuanza kulalamika kwamba umeonewa!ICE kule Marekani ni kifupi cha U.S. Immigration and Customs Enforcement — yaani Idara ya Utekelezaji wa Sheria za Uhamiaji na Forodha ya Marekani.
Kwa ufupi, ICE hufanya kazi hizi kuu:
ICE iko chini ya Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security – DHS).
- Kusimamia sheria za uhamiaji: Kuwabaini, kuwakamata, na kuwaondoa (kurejesha) wahamiaji wasio na vibali halali.
- Kupambana na uhalifu wa kuvuka mipaka: Kama usafirishaji haramu wa binadamu, dawa za kulevya, silaha, na bidhaa bandia.
- Kulinda usalama wa taifa: Kuchunguza makosa yanayohusiana na ugaidi, fedha haramu, na uhalifu wa kimataifa.
Kimsingi, ICE sio idara ya kutoa visa au uraia; kazi hizo ziko kwa USCIS. ICE inalenga zaidi utekelezaji wa sheria.
Marekani na Ulaya walishavuka hiko kiwango cha kufanya mambo kienyeji kama jiwe na Tanzagiza kwa mtu yoyote aliye ndani ya mipaka ya nchi yao, Trump ndio anataka kuwarudisha kwenye huu ujinga.
Wageni wanaua wakristo U.S
ICE ipo kulinda wakristo,Western Christian system na ku fight against communists.
Tuwaunge mkono ICE mtumishi wanakomesha jihadists na communists
Kesi zimeshafunguliwa baadhi ya majimbo. Wanaandamana kupinga wanaokamatwa sasa.kwa nini sasa hawaishitaki serikali ya D.Trump kwa maana USA mtu yoyote yule anaweza kufungua kesi na hili zoezi kama ni kinyume cha sheria mahakama za USA zina uwezo wa kulisimamisha mara moja, kwa nini hawafanyi hivyo sasa kama ni kuna sheria hao ice wanavunja? kwa nini fujo na maandamano wakati mahakama zipo...
Kesi zimeshafunguliwa baadhi ya majimbo. Wanaandamana kupinga wanaokamatwa sasa.
Waafrika tunavukaje boda wakati US ni mbali vile. Wanaovuka boda ni wamexico na wacanada. Boda ina ulinzi mkali sana haupiti piti tu.duh, kwa hiyo ina maana yoyote anayeweza kuvuka boda ni ruksa kuishi USA? hakuna hata limit? mfano afrika tuko > 1 billion people, kwa hivo theoretically kama waafrika milioni 500 tukiweza kuvuka boda na kuingia USA ni ruksa kubakia huk? ni watu wangapi sasa hiyo USA inaweza kuchukuwa, dunia nzima?
Ongeza pia kila sehemu kuna Sheria zake, mfano Bangi Marekani kuna sehemu sheria inaruhusu unaweza kuvuta popote ila kuna sehemu ukienda ukavuta babaake unaingia matatani ni haramu ni sawa ukachinje Nguruwe Saudi Arabia pembeni ya mSikiti hawatokuacha salamaSasa kwa sababu Wamarekani wengi hawajazoea na hawapendi uonevu kama huo ndipo unaona hizo vurugu zote raia wakiliamsha, sio kama bongo mtu atakuja achukuliwe tu kwenye bus, bar, kazini au nyumbani kwake bila utambulisho na maelezo ya kueleweka halafu wanaomzunguka wakae kimya wamejikunyata.
Waafrika tunavukaje boda wakati US ni mbali vile. Wanaovuka boda ni wamexico na wacanada. Boda ina ulinzi mkali sana haupiti piti tu.
Sisi mpaka uombe visa.
Ongeza pia kila sehemu kuna Sheria zake, mfano Bangi Marekani kuna sehemu sheria inaruhusu unaweza kuvuta popote ila kuna sehemu ukienda ukavuta babaake unaingia matatani ni haramu ni sawa ukachinje Nguruwe Saudi Arabia pembeni ya mSikiti hawatokuacha salama
Wengi wanaosndamana wapo legally ila wana ndugu zao wengi tu wako illegally. Unakuta mama yupo illegally ila ana watoto wapo legally au kinyume chake.asante kwa maelezo mazuri kwa hiyo wako kwa mujibu wa sheria za USA sasa tatizo liko wapi, kwa nini wanwazuiwa wasifanya kazi zao kwa maandamano na fujo za kila aina wakati wako kwa mujibu wa sheria na wanafwata sheria? ...