eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Well said lakin kuna uhusiano Kati ya mchina Kuwa kubwa na kufanya vizur kwenye mashindano kama ni hivyo India na China zimekuwa zinabeba world cup kila michuano inapotokea.
Nchi kufanya vizur ni kujipanga vizur katika kila Nyanja ya Mpira Hata kama nchi ina watu laki 1 issue ni kupata first 11 eleven ya maana wachezaji Wa akiba na kocha mwenye mbinu tofaut kulingana na mchezo Hapo lazima watafuzu tu
Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo
ukubwa wa pua siyo wingi makamasi acha ubwege weweTanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo
Mkuu sisi tumewekeza kwenye kuu.... dah napata ukakasi kidogo kusema maana hii cyber crime inanitisha kidogo nitakuja kuongea baadae baada ya kuisoma vizuri hii sheria kwa sababu sina hizo milioni 7n udhaifu mkubwa sana wa kifikra kujilinganisha na china au india co wao zipo sekta walizozipa kipaumbele na wakafanikiwa india crikets china sayanc haya sisi uku tumeweza kwenye nn
Some jokes?Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
tatu wanaenda robo fainaliTanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo
asante iceland,sema hawa washkaji wanashangaza sana majina yao yote yanaishia na "SON"

kuimba singeli na kukesha kwenye vigodoron udhaifu mkubwa sana wa kifikra kujilinganisha na china au india co wao zipo sekta walizozipa kipaumbele na wakafanikiwa india crikets china sayanc haya sisi uku tumeweza kwenye nn

Kama hujui unauliza kijana Iceland imeingizwa tuuu? Pole sana hakuna team imeingizwa tu Iceland ndo iliyomtoa Holand ya akina Van persiePoint of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24