Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo