[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Wewe ni zaidi ya Muro wa Yanga.Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
Nimekosea kuandika idadi ila yeye kaboronga zaid hakufuatilia kufuzu euro ndio maana anasema iliingizwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Wewe ni zaidi ya Muro wa Yanga.
Masame bure tu huyo.Nimekosea kuandika idadi ila yeye kaboronga zaid hakufuatilia kufuzu euro ndio maana anasema iliingizwa
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi na udogo wa pua si uchache wa kamasi
mkuu naomba nikusahihishe,timu jumla zilikuwa 24Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo
kwan uwanjani wanacheza wachezaji wangapi???? kama nchi kubwa inachezesha idadi kwabwa ya wachezaji hapo sawa
Kigezo gani kilitumika kuwapa ofa Iceland?Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
Kwa kweli cjui lkn iceland hawakupigania nafac kukolifyKigezo gani kilitumika kuwapa ofa Iceland?