Ict officer ii (computer system administration) tupeane nondo

Ict officer ii (computer system administration) tupeane nondo

CodeX

Member
Joined
Sep 2, 2018
Posts
27
Reaction score
200
Wakuu kwa wale tuliomba nafasi za kazi kwa ICT OFFICER II (COMPUTER SYSTEM ADMINISTRATION) ya TRA ,tupeane Nondo .

1. Maswali ya kusoma
2. Pepa huwa zinakuwaje .

Karibuni
 
Wakuu kwa wale tuliioba nafasi za kazi kwa ICT OFFICER II (COMPUTER SYSTEM ADMINISTRATION) ya TRA ,tupeane Nondo .

1. Maswali ya kusoma
2. Pepa huwa zinakuwaje .

Karibuni
Jiandae na anything about database mfano ni MySQL queries, namna ya kulog in kwenye servers jumlisha knowledge yako ya programming...inshallah utafanikiwa
 
Jiandae na anything about database mfano ni MySQL queries, namna ya kulog in kwenye servers jumlisha knowledge yako ya programming...inshallah utafanikiwa
Asante Sana. System administrator kunakuwa na maswali ya programming mkuu?
 
Asante Sana. System administrator kunakuwa na maswali ya programming mkuu?
Mkuu i was making an intelligent guess. Unaweza kupata hint za swali lako from the job description iliyotangazwa. Ukiisoma vizuri utaelewa maswali yanaweza kutoka wapi.
NB: Interview za mwanzo huwa ni written na lengo kubwa ni kupunguza watu. So ujiandae kwa lolote tu...ushishangae mkapewa pepa ya namba au physics au IT in general.
 
Back
Top Bottom