Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Tena ww sio kuoshwa,kuogeshwa kabisaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]huu huu mkuu ko nimeoshwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu ndo maana nimetoa maelezo nilivyojihisi ila wengine kwenye papuch huwa hatuload hata uniuwe ila niipate lazima mtu akazwe tuStory zongine za kutunga halafu kitoto kbs. Scenario uliyoijenga eti ....tukapiga mechi ya ugenini...thubutu!! Una uhakika demu hakujua anakuja kukutana na wewe, na ameshakuaga kabisa luwa anakwenda kijijini ili usimtafute, means alikuwa tyr kujisubmit kwa njemba nyingine. Leo useme ungepata ujasiri wa kumgegeda ugenini! Acha hizo. Hasira ambazo ungezipata baada ya kujua umedanganganywa na anakwenda kumpa uroda mwanaume asiyemjua usingemuacha salama.
kijana na wewe unadhiliki kuzungumza hivyo hahahahaaa Mzee wa PhD huku anaulizia asome nini Veta...[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Story za kijinga hivi zinashusha hadhi ya jamiiforum
Kupenda kutumia emoji. Ni ukikekijana na wewe unadhiliki kuzungumza hivyo hahahahaaa Mzee wa PhD huku anaulizia asome nini Veta...[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndio mkuuu hakuna kurembaa hapahahaha mkuu mimi na wewe tunafanana sana mkuu unakumbuka zile sheria zetu za kutreat wanawake napo tupo sawa
hahahahahaaa sawa kijana ko unataka kusema kuwa wanawake sio binadam ko mtu akifanya upuuzi huwa unamfananisha na mama yako?Kupenda kutumia emoji. Ni ukike
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Najuta kuinywa hii chai.
Pupuuui pupuuuuu pupuuuu
Kuendelea kujibishana na ninja kama mimi ni ku risk maisha yakohahahahahaaa sawa kijana ko unataka kusema kuwa wanawake sio binadam ko mtu akifanya upuuzi huwa unamfananisha na mama yako?
mmmh sawa mkuuKuendelea kujibishana na ninja kama mimi ni ku risk maisha yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Upupu wanaofuga lumumba huu, laana itawatafuna milele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Naona umeanza kuwa mpishi mzuri sasa kaza buti utafika mbali&chai ya leo imeungwa poa sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umeanza kuwa mpishi mzuri sasa kaza buti utafika mbali&chai ya leo imeungwa poa sana mkuu
punguza kelele mkuuChaichai mazee chai hii.. ni chao kabisa
hahahahahahahahaha livepunguza kelele mkuu