ID fake JF imenisaidia kutambua Tabia ya Cheupe wangu inauma sana.

ID fake JF imenisaidia kutambua Tabia ya Cheupe wangu inauma sana.

Story zongine za kutunga halafu kitoto kbs. Scenario uliyoijenga eti ....tukapiga mechi ya ugenini...thubutu!! Una uhakika demu hakujua anakuja kukutana na wewe, na ameshakuaga kabisa luwa anakwenda kijijini ili usimtafute, means alikuwa tyr kujisubmit kwa njemba nyingine. Leo useme ungepata ujasiri wa kumgegeda ugenini! Acha hizo. Hasira ambazo ungezipata baada ya kujua umedanganganywa na anakwenda kumpa uroda mwanaume asiyemjua usingemuacha salama.
mkuu ndo maana nimetoa maelezo nilivyojihisi ila wengine kwenye papuch huwa hatuload hata uniuwe ila niipate lazima mtu akazwe tu

Pia hongera kwa kugundua utoto wng
 
Chaichai mazee chai hii.. ni chao kabisa
 
Back
Top Bottom