Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
VindicatorPale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na ukaamue uitumie hii ya sasa?
wewe kibokoSikumbuki hata
ID yangu haijawahi kutumiwa na mtu mwingine humu, nilipoisajili kwa mara ya kwanza ikakubali.Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na ukaamue uitumie hii ya sasa?