[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi mamy usije nilaza mtoni na kijijamvi changu nilicholalia [emoji119][emoji119]Mtaje uone asubuhi utajikuta mtoni na kigodoro chako cha nchi mbili [emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio maana mimi sijataja I'd ya kiume japo wapo wakaka wengi tu nawakubali ila watu wenye mawazo kama wewe hawakosagi neno etiHuu uzi kuna mind game inachezwa,sio muda watu watakuwa wapenzi,kwa akili za wanawake nizijuavyo,watu watasifiwa humu na vyupi watavua,kuna mmoja namfuatilia kwa karibu nahisi ashakuwa wet kwa mwana..
Mtaje kwa ID kama kweli unafanya HIp-hOpHuu uzi kuna mind game inachezwa,sio muda watu watakuwa wapenzi,kwa akili za wanawake nizijuavyo,watu watasifiwa humu na vyupi watavua,kuna mmoja namfuatilia kwa karibu nahisi ashakuwa wet kwa mwana..
ahsante sana dada yangu, hivi tukitoka hapa kwa mujibu wa ratiba tunaelekea wapi?Hahaha na mineno yako kama yote[emoji23][emoji23] asante kushukuru Sunbae, nikutakie kuzurura kwema huku chitchat unaweza kujiolokotea mrembo kama Song Hye Kyo...no kaka Moon Chae Won si unaona leo umetembea tu kidogo umekutana na GT @Da'vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya kalale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi mamy usije nilaza mtoni na kijijamvi changu nilicholalia [emoji119][emoji119]
Ukifuatilia utamjua tu...bora mpenzi wangu ame`balance shobo,hajatia neno lolote kwenye huu uzi,hata mimi sitaki anisifie maana najua atakuwa hamaanishi...i still insisting kuwa humu kuna mind games plays ON!
Haha ratiba ipi sasa si unajua sie wahenga tuna ratiba nyingi teh. Kweli angaza angaza ukiona niambie nifanye maandalizi ndoa ikafungiwe Seoulahsante sana dada yangu, hivi tukitoka hapa kwa mujibu wa ratiba tunaelekea wapi?
[emoji470][emoji468][emoji961][emoji117][emoji118]
hao warembo nahofia isije kuwa ni busy schedule kama wale ndio maana nawaogopa ila ngoja nijitoe uwoga kwa mujibu wa maneno yako huenda nikampata kim tae hee wa kwangu kutoka nyanda za juu mikoroshoni vitunguuni mbatatani.
We kweli ni mbana pua, umeshindwa tu kisema kua ni Khantwe?Ukifuatilia utamjua tu...bora mpenzi wangu ame`balance shobo,hajatia neno lolote kwenye huu uzi,hata mimi sitaki anisifie maana najua atakuwa hamaanishi...i still insisting kuwa humu kuna mind games plays ON!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
teh teh tehHaha ratiba ipi sasa si unajua sie wahenga tuna ratiba nyingi teh. Kweli angaza angaza ukiona niambie nifanye maandalizi ndoa ikafungiwe Seoul
Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh teh
hayo maneno yako unavyozidi kuyachochea unanifanya niwakumbuke wale wakuu wa biashara za burudani kwenye joseon historical na wenyewe wanawaita gisaeng, burudani anaitoa msichana mdogo lakini show nzima ya mapato anaisimamia yeye utadhani binti anayetoa burudani ni mlemavu wa mikono.
basi kwa kuwa upo busy acha tuhamie hapa chit chat mpaka nitakapompata agassi au ahjumma wa kwangu.
nilifikiri utanipeleka MMU nikakutane na story teller wa ulingo wa mahusiano.
Daaah mkuu Natamani siku moja nikuone walahi nadhani nitajifunza mengi sana.. itii kiu ya moyo wangu tafadhaliteh teh teh
hayo maneno yako unavyozidi kuyachochea unanifanya niwakumbuke wale wakuu wa biashara za burudani kwenye joseon historical na wenyewe wanawaita gisaeng, burudani anaitoa msichana mdogo lakini show nzima ya mapato anaisimamia yeye utadhani binti anayetoa burudani ni mlemavu wa mikono.
basi kwa kuwa upo busy acha tuhamie hapa chit chat mpaka nitakapompata agassi au ahjumma wa kwangu.
nilifikiri utanipeleka MMU nikakutane na story teller wa ulingo wa mahusiano.
Humu humu kwenye iyi siredi, ila kama jasho linanitoka bwana rol modo[emoji26][emoji26][emoji26] huwa wanaanza aje kumsalimia Demiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu,Avatar ya zamani! Ipi hiyo mkuu ili niirudishe.😛😛Shukrani sana kiongozi. Nakukubali pia hasa kila nikiikumbuka avatar yako ya zamani[emoji6]
Mbona hujataja wale uliokuwa unawatongoza ulipokuwa unatumia ID ya Mondray?These are my JF Holy trinity
●Blaki woman
●Mr Miller
●Bbade
Sasa hivi ukija tena Dar ni zamu yangu kukupokea![emoji6][emoji6][emoji6]Manyanyaso yako. Ipo siku utakosa mke[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app