ID ya mwana JF unayo ikubali

ID ya mwana JF unayo ikubali

Huu uzi kuna mind game inachezwa,sio muda watu watakuwa wapenzi,kwa akili za wanawake nizijuavyo,watu watasifiwa humu na vyupi watavua,kuna mmoja namfuatilia kwa karibu nahisi ashakuwa wet kwa mwana..
Hahaha ndio maana mimi sijataja I'd ya kiume japo wapo wakaka wengi tu nawakubali ila watu wenye mawazo kama wewe hawakosagi neno eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha na mineno yako kama yote[emoji23][emoji23] asante kushukuru Sunbae, nikutakie kuzurura kwema huku chitchat unaweza kujiolokotea mrembo kama Song Hye Kyo...no kaka Moon Chae Won si unaona leo umetembea tu kidogo umekutana na GT @Da'vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana dada yangu, hivi tukitoka hapa kwa mujibu wa ratiba tunaelekea wapi?
🏇🚴⛷👉👈
hao warembo nahofia isije kuwa ni busy schedule kama wale ndio maana nawaogopa ila ngoja nijitoe uwoga kwa mujibu wa maneno yako huenda nikampata kim tae hee wa kwangu kutoka nyanda za juu mikoroshoni vitunguuni mbatatani.
 
[emoji470][emoji468][emoji961][emoji117][emoji118]
hao warembo nahofia isije kuwa ni busy schedule kama wale ndio maana nawaogopa ila ngoja nijitoe uwoga kwa mujibu wa maneno yako huenda nikampata kim tae hee wa kwangu kutoka nyanda za juu mikoroshoni vitunguuni mbatatani.
Haha ratiba ipi sasa si unajua sie wahenga tuna ratiba nyingi teh. Kweli angaza angaza ukiona niambie nifanye maandalizi ndoa ikafungiwe Seoul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha ratiba ipi sasa si unajua sie wahenga tuna ratiba nyingi teh. Kweli angaza angaza ukiona niambie nifanye maandalizi ndoa ikafungiwe Seoul

Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh teh
hayo maneno yako unavyozidi kuyachochea unanifanya niwakumbuke wale wakuu wa biashara za burudani kwenye joseon historical na wenyewe wanawaita gisaeng, burudani anaitoa msichana mdogo lakini show nzima ya mapato anaisimamia yeye utadhani binti anayetoa burudani ni mlemavu wa mikono.

basi kwa kuwa upo busy acha tuhamie hapa chit chat mpaka nitakapompata agassi au ahjumma wa kwangu.
nilifikiri utanipeleka MMU nikakutane na story teller wa ulingo wa mahusiano.
 
Hahaha Sunbae kwa hiyo mimi unanifananisha na gisaeng? Kwa hiyo MMU umeshatupa jicho ukaona eeh?

Daaah mkuu Natamani siku moja nikuone walahi nadhani nitajifunza mengi sana.. itii kiu ya moyo wangu tafadhali

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom