Japo umechelewa saaana kunicheki.. nimefurahi ujumbe wangu umeupata.. nimemmisi sana..Nimezipokea. πππ
Au hujantaja? Mana sijavaa miwani hapa.
Yaani sikuwahi uona kabisa huu uzi. Itabidi nimrudishe aisee.Japo umechelewa saaana kunicheki.. nimefurahi ujumbe wangu umeupata.. nimemmisi sana..
Mi nawe tunajuana.. ππ
Utakavyo penda wewe niko nyuma yako siku zote hehe.. japo kuna siku ulijidai kunikazia mwenyewe.. utaniambia kwanini basi au unasemajeYaani sikuwahi uona kabisa huu uzi. Itabidi nimrudishe aisee.
Heheheheee.
Uwiiii!! Kumbe niliwahi kukukazia lol. Uzee nao huo Avatar waeza kuta siku hiyo wajukuu walinisumbua sana hivyo nikajikuta nalogin na akili za kule. ππUtakavyo penda wewe niko nyuma yako siku zote hehe.. japo kuna siku ulijidai kunikazia mwenyewe.. utaniambia kwanini basi au unasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii!! Kumbe niliwahi kukukazia lol. Uzee nao huo Avatar waeza kuta siku hiyo wajukuu walinisumbua sana hivyo nikajikuta nalogin na akili za kule. [emoji41][emoji41]
Hiyo kwa nini hata haipo. [emoji28][emoji28]
Hahahaaa. Kumbe eee!!Wala sio uzee ..we bado sana... umesahau ee ngoja nikuoneshe. Nilipewa sababu tu na watu sijui kama zinaukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Kumbe eee!!
We ulivyozichuja hizo sababu ukazioonaje? Eti uliambiwa na Watu lol [emoji848] kwamba sio mmoja duuh!! Ulijua kupata kazi na weye
Heheheheeee! LolEe ilibidi kujipa kazi kidogo.. inatokea tu kwavyule mtu unaemwelewa.
Hizo sababu Labda utake mwenyewe kuthibitisha.. maana nilizichukua kama zilivo zisizo na uthibitisho siwezi kuzifanyia maamuzi ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheeee! Lol
Haya bana ngoja niende jukwaa la photo kama kuna uzi wenye nitahitaji macho manne basi ntakutag. ππ
πππππ₯π₯ Kweli mkuu, eti pamoja na nondo za ukweli ambazo huwa unadondosha humu hakuna aliyekutaja! Eti hata mie sijatajwa ! May be this forum is not for every Tom and Jerry like me.Wanatajwa wajinga
Damon dea lol weee nae hata hujantaja, sa ningefanyaje nmeona nijiseme mwenyeweeeh, uwiiiiiiiiiih[emoji1787][emoji1787] acha ubinafsi
California love
Hahaa nilikuwa sjauona huu uziDamon dea lol weee nae hata hujantaja, sa ningefanyaje nmeona nijiseme mwenyeweeeh, uwiiiiiiiiiih
Mmmmmh muongo lol.Hahaa nilikuwa sjauona huu uzi
California love