ID ya mwana JF unayo ikubali

ID ya mwana JF unayo ikubali

Nimezipokea. 😎😎😎

Au hujantaja? Mana sijavaa miwani hapa.
Japo umechelewa saaana kunicheki.. nimefurahi ujumbe wangu umeupata.. nimemmisi sana..

Mi nawe tunajuana.. 😊😊
 
mzushi flani ..

daima nitaendelea kujikubali .

refer diogenes when he told Alexander the great "if i was to be born again i want to be born i my self" that was after Alexander said "if am to be born again, i want to be born as you diogenes".

kama hua husomi vitabu chukulia huo ni uzushi kama uzushi mwingine tu.

Sent using SMART KITOCHI
 
Japo umechelewa saaana kunicheki.. nimefurahi ujumbe wangu umeupata.. nimemmisi sana..

Mi nawe tunajuana.. 😊😊
Yaani sikuwahi uona kabisa huu uzi. Itabidi nimrudishe aisee.

Heheheheee.
 
Utakavyo penda wewe niko nyuma yako siku zote hehe.. japo kuna siku ulijidai kunikazia mwenyewe.. utaniambia kwanini basi au unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii!! Kumbe niliwahi kukukazia lol. Uzee nao huo Avatar waeza kuta siku hiyo wajukuu walinisumbua sana hivyo nikajikuta nalogin na akili za kule. 😎😎

Hiyo kwa nini hata haipo. πŸ˜…πŸ˜…
 
Wala sio uzee ..we bado sana... umesahau ee ngoja nikuoneshe. Nilipewa sababu tu na watu sijui kama zinaukweli
Uwiiii!! Kumbe niliwahi kukukazia lol. Uzee nao huo Avatar waeza kuta siku hiyo wajukuu walinisumbua sana hivyo nikajikuta nalogin na akili za kule. [emoji41][emoji41]

Hiyo kwa nini hata haipo. [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala sio uzee ..we bado sana... umesahau ee ngoja nikuoneshe. Nilipewa sababu tu na watu sijui kama zinaukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Kumbe eee!!

We ulivyozichuja hizo sababu ukazioonaje? Eti uliambiwa na Watu lol πŸ€” kwamba sio mmoja duuh!! Ulijua kupata kazi na weye
 
Ee ilibidi kujipa kazi kidogo.. inatokea tu kwavyule mtu unaemwelewa.
Hizo sababu Labda utake mwenyewe kuthibitisha.. maana nilizichukua kama zilivo zisizo na uthibitisho siwezi kuzifanyia maamuzi ..
Hahahaaa. Kumbe eee!!

We ulivyozichuja hizo sababu ukazioonaje? Eti uliambiwa na Watu lol [emoji848] kwamba sio mmoja duuh!! Ulijua kupata kazi na weye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ee ilibidi kujipa kazi kidogo.. inatokea tu kwavyule mtu unaemwelewa.
Hizo sababu Labda utake mwenyewe kuthibitisha.. maana nilizichukua kama zilivo zisizo na uthibitisho siwezi kuzifanyia maamuzi ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheeee! Lol

Haya bana ngoja niende jukwaa la photo kama kuna uzi wenye nitahitaji macho manne basi ntakutag. πŸ˜€πŸ˜€
 
Habibu B Anga na Mshana Jr + Heaven on Earth
Hawa watu walifanya nami nijipatie Id humu.
 
Back
Top Bottom