Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Heaven Sent huyu mtoto namkubali sana aisee hata yeye anajua. She is smart, good hearted and God fearing. espy ubarikiwe kwa kutuzalia huyu kiumbe
Mwingine Nalendwa .. Huyu dada simpatii picha sijui anafananaje yaani natamani kumuona
Madame S aisee hujakosea kujiita madame
Karucee dada Mungu akubariki
sana
Rebeca 83 we mdada nakupendaga sana
Shunie Mzigua90 manengelo cute b Raynavero mko charming mpaka mnaboa yani [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu awape maisha marefu Thad (japo sikupendi ila nakukubali)
Evelyn Salt nisipokuona siku tatu naumwa
Wadogo zangu Sakayo Maserati Baby Doll nawapenda
Neybright nilisema unikumbushe mume wetu ukala kona, pamoja na hayo nakukubali sana uko vizuri
Kasie nadhani hakuna asiyemjua, I love you
brenda18 Valentina wahenga wenzangu nimewamisi
Hivi yule Dr Preta yuko wapi aisee nimemmisi mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app