ID yako ya JF utaiuza kwa shilingi ngapi?

πŸ™†kaka Tena πŸ™„
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
🀣🀣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🀣🀣
 
🀣🀣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🀣🀣
🀣🀣niache hukoo
Hata Kama nami nauza yangu jinsia ataipata badae Tena nikuuzie weweπŸ™„
 
ID yangu Ni nzito Ina ma file magumu hutayaweza utaikimbia
 
mi nikipata ya mshana jr naanza kupiga pesa najua ntapigaje pesa wateja wapo wengi sana
 
mi nikipata ya mshana jr naanza kupiga pesa najua ntapigaje pesa wateja wapo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…