KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣🙆kaka Tena 🙄
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka 🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣🙆kaka Tena 🙄
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka 🚶🏼♀️🚶🏼♀️
🤣🤣niache hukoo🤣🤣 Kumbe bora yangu Kuna nyengine hazijulikani hata jinsia gani..🤣🤣
Duh, pole dada. Tunaweza ongea vizuri tu ukainunua usijali.[emoji134]kaka Tena [emoji849]
Sinunui Tena pia mimi siyo kaka [emoji2214][emoji2214]
😢 ona kenzy ananicheka hapo eneway ...Duh, pole dada. Tunaweza ongea vizuri tu ukainunua usijali.
Achana na Kenzy, njoo PM tufanye business mama.[emoji22] ona kenzy ananicheka hapo eneway ...
Punguza basi nichukue
🏃🏃🤣🤣niache hukoo
Hata Kama nami nauza yangu jinsia ataipata badae Tena nikuuzie wewe🙄
njoo nunua nakuuzia buree🤣
umeifunga🔒Achana na Kenzy, njoo PM tufanye business mama.
Jaribu tenaumeifunga[emoji357]
Tufanye hivi nakutumia nauli uje gheto uchukue hapo vipi mrembo..?
We acha mbachao kwa msala upitao[emoji23][emoji23][emoji23]aah nimeghairi
We acha mbachao kwa msala upitao
We ni embe ng'ong'o..😎Komamanga la blue wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
We ni embe ng'ong'o..[emoji41]
Okay basi tufanye unashepu kama bamia la mia na hamsini..😁Tamu[emoji12]