ID yako ya JF utaiuza kwa shilingi ngapi?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Ikitokea kuna mtu anajitokeza kununua ID za jf, wewe yakwako utaiuza kwa shilingi ngapi?

Don't be bias, sema tu kwa uonavyo wewe thamani ya ID yako kwenye platform hii.

Maana kuna watu walijitokezaga kununua baadhi ya ID huko ughaibuni kwenye platform moja ya kijamii inayofanana na hii sasa huwezi jua wanaweza wakatua na huku ukashindwa pakuanzia

Mimi yangu 2M tu wala sitataka nyingi
 
Kuna id haziwezi uzika yani Kama ya kwangu sio kuuza bali nakupa halafu ili uikubali nakupa na tuhela..🤣 Yani Kama ni thamani yake Basi ni sawa na negative 10000. It means hata hata nikikupa I'd bado unanidai na tuhela twa kubembelezea ili uikubali..😅
 
Niuzie Mimi mkuu
 
Price less, ila kwa shingo upande $ 25,000 naona itanipooza
 
Ikitokea kuna mtu anajitokeza kununua ID za jf, wewe yakwako utaiuza kwa shilingi ngapi?

Don't be bias, sema tu kwa uonavyo wewe thamani ya ID yako kwenye platform hii.

Maana kuna watu walijitokezaga kununua baadhi ya ID huko ughaibuni kwenye platform moja ya kijamii inayofanana na hii sasa huwezi jua wanaweza wakatua na huku ukashindwa pakuanzia

Mimi yangu 2M tu wala sitataka nyingi
Mine is priceless!
 
Kuna id haziwezi uzika yani Kama ya kwangu sio kuuza bali nakupa halafu ili uikubali nakupa na tuhela..[emoji1787] Yani Kama ni thamani yake Basi ni sawa na negative 10000. It means hata hata nikikupa I'd bado unanidai na tuhela twa kubembelezea ili uikubali..[emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom