Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Umeanza hivi vi-emoji.
Yaani mimi sijui ni ushamba au nini yaani sivipendagi!
Bora hata viandikwe na mwanamke, mwanaume akiandika na akaweka hivi vijitu huwa namwonaje sijui.