hahahahahahaahahahahaAaah hapana sijaona akichati na koh koh wewe... Ila akianza nitaanza kumuonea gere na id yake nitainunua
Huyu chekechea mate wangu huyu mkuu...Mkuu kwahiyo wewe huachi kitu? Mpaka huyu?? Aaah acha zako bwana
...ngoja aje mwingine najua itapanda kwa mnada!Hii yako buku
Nipo Castr nipo kabisa my nduguMorning, umekua adimu hivi karibuni...
Halafu unavyoona ninavyocheka ndivyo nilivyo Daby, huwa nina kasirika lakini sio saaaanaHalafu hivi kuna I'd inapenda kucheka humu kama yakooo
Pesa cash hii hapa nimeipendea uzi wako wa jokes ila majukwaa mengine inapumba tu... buku inakutoshaaa [emoji16][emoji16]...ngoja aje mwingine najua itapanda kwa mnada!
nimekutext wozap0787128158 jina daby KIBORI NANGAAYA. [emoji16][emoji16]
Basi unafaa kwq matumizi ya kawaida [emoji16][emoji16]Halafu unavyoona ninavyocheka ndivyo nilivyo Daby, huwa nina kasirika lakini sio saaaana
hahahahhhhhhDaby yake anauza 1000, hiyo utachati na wakina Shunie, espy, husna muba atakua mkeo. Ila utakua na ugomvi na jamaa fulani hivi.
Fanya kumcheki