..ntaishia kutekwa, hao wote watekaji!Daby yake anauza 1000, hiyo utachati na wakina Shunie, espy, husna muba atakua mkeo. Ila utakua na ugomvi na jamaa fulani hivi.
Fanya kumcheki
husna ukujeeeBasi unafaa kwq matumizi ya kawaida [emoji16][emoji16]
Mkuu kuna I'd zingine hazinunuliki sio kwamba bei kubwa no ila zimejaa pumba na shuduTatizo ukimuuzia kilaza yaani itakuwa better nibaki nayo!
Yako unauza bei gani... maana JLW litaipandisha beihusna ukujeee
Deo ni Genious kupita kiasi, sasa mimi nataka mtu wa kawaida tuDeo Kisandu vipi?
Hii ya pesa sio text... meseji tuma kwa ile nyingine au pm.nimekutext wozap
Tuma dollar hizo ntakumegea nusu yake...Pesa cash hii hapa nimeipendea uzi wako wa jokes ila majukwaa mengine inapumba tu... buku inakutoshaaa [emoji16][emoji16]
hahahaahh naigawa bureeeee sitaki ata miaYako unauza bei gani... maana JLW litaipandisha bei
πππππBasi unafaa kwq matumizi ya kawaida [emoji16][emoji16]
hahahahh mbona wozap upoHii ya pesa sio text... meseji tuma kwa ile nyingine au pm.
HahahaTuma dollar hizo ntakumegea nusu yake...
Sikupi id nzima!
Mimi wala siichukui siunajua nina aleji na lile jukwaahahahaahh naigawa bureeeee sitaki ata mia
[emoji16][emoji16]πππππ
Mie niko koteee hadi kule kwa "wazee"Ngoja nijifunze pattern ya majukwaa yako niwe nakesha humo humo.
Ili picha za miamala ili kuthibitisha pesa imetumwa zinatumwa hukohahahahh mbona wozap upo