Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
hahahhaha Daby nitakuteka we nikumbushe tu habari za kilimanjaro ndio huwa sipendi kuongea story zangu watu hamsahauKwa hiyo kilimanjaro haupandi tehna... basi usije kwetu tena
Yaani hapa zimefika... ukuje bwana ututembelee tehna siku hiz kuna self-contained buseshahahhaha Daby nitakuteka we nikumbushe tu habari za kilimanjaro ndio huwa sipendi kuongea story zangu watu hamsahau
Wapo wanaoelewaMbona bei umeiandika kibabe? Mteja atakuelewa kweli?
teh ndio mana sielewi kituWe Shunie ndiyo maana bado "bikra"
hahahhhh Daby sitakiYaani hapa zimefika... ukuje bwana ututembelee tehna siku hiz kuna self-contained buses
HahahaMambo ya kuonyeshana vikojoleo laivu sipendi mimi.... raha ukione mkiwa wawili
stress freeHahaha
Nimejikuta nacheka!!!
Sijui wanaonaga raha gani kule
Yaani mimi niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka...Hahaha
Nimejikuta nacheka!!!
Sijui wanaonaga raha gani kule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha mbona kama umetaja bajeti ya Tanzania mkuu?