Id Yako ya JF Utaiuza Shilingi Ngapi?

Sasa genye zimenipandia jf mzigo nikamsumbue mtu hata hayumo jf? Oneaneni huruma jamani
sasa sisi utusumbue tunahusika vipi na genye zako tunakutana kwenye comments kama huwezi vumilia usiingie
 
Halafu Shunie anasema zikishakupanda tafuta pa kuzitoa usisumbue watu wa hilo jukwaa
Hahaha
Hapo sasa, umeenda huko mchana zikakupanda mwenzako yuko kazini!! Inakuwaje hapo
 
Hilo jukwaa hamna ushirikiano kabisa, kweli mwanajukwaa mwenzio ana genye hata kumpa msaada? Wanajf hatupo hivyo...
jukwaa halipo kwa ajili ya mambo hayo jamaan nyege zako utajua mwenyewe pa kupeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…